Unafuatilia mpira mkuuusajili wa keita na VVD jumla yake ni paund mill 125..huku countinho akiuzwa kwa paund mill 145...hivyo kilichobaki ni paund mil 20..sitarajii usajili wowote wa kuzid hicho kilichobakia...au tupambane na vilivyopo..ni mawazo tuu ya kichaga yamenipeleka huku..
We will win even without himIt looks like Van djik won't make his premier league debut for liverpool as he is set to miss the match today.
It looks like Van djik won't make his premier league debut for liverpool as he is set to miss the match today.
Kuna uwezekano VVD asicheze game ya leo since ni majeruhi
Binafsi naona mara 100 Migs acheze na makosa yake maana kuna muda huwa anatoka usingizini na ku perform vzuri kuliko uyu Kirus, ajachngamka kabisa na huwa mzembe sana. Ki ukwli tunahitaji GK wa maanaBaada Ya Makosa Ya Mignoleta Kupitiliza Kiwango Klopp leo Officially ameamua Kumtangaza Loris Karius Kuanza Kumueka Golini na atamuangalia Kama ataperform Vizuri Mechi ya leo tu basi Ataendelea Kukaba Golini Kama Kipa Namba 1 Wa Liverpool.
Klopp explains Karius selection against Man City