Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
CLARIFICATION
Naomba Niwe Comprehensible Kuwa NABY KEITA hakununuliwa Kwa ajili Ya Kuwa Mrithi Wa Coutinho! Huyu alinunuliwa Kabla Ya Kuuzwa Coutinho na alianza Kufatiliwa Na Liverpool Kabla ya Hata Barcelona kuleta Bid yoyote Liverpool ya Kumtaka Coutinho!
Huyu alinunuliwa Kwa ajili ya Kustrengthen Midfield area Yetu tu hususan eneo la defensive mido..
Kwahiyo Wanaoleta habari za urithi wasiconfuse watu kwa Kuleta wrong information from the wrong media wanaoandika Chochote tu ili wapate Kuuza.
This is special thread! Tunahitaji facts and not assumption.