Lakini kazungumza ukweli.It doesn't matter about his feelings!!
pamoja na Coutinho msimu huu kuwa kwenye kiwango kikubwa kuliko misimu yote aliyocheza LFC, bado total goals + assists kwenye EPL msimu huu yupo ngoma sawa na Bobby....which speaks volumes on Bobby's consistency.Bobby ni jembe usipime.
I tell you Klopp angeambiwa achague amuuze nani kati ya Bobby na Coutinho, angemuuza Coutinho!
Roberto Firmino has been directly involved in more goals in all comps for Liverpool under Jurgen Klopp than any other player – 64 (39 goals, 25 assists)
Huyo Mkuu Ladder 49 Hapo juu Amemaliza Kila Kitu!
Ni Kweli Klopp Hanunui Mchezaji Kwa Kumreplace Fulani!! Bali ananunua Kwa Kuimarisha Mfumo Wake na Ndiyomana Wengi Walishangaa Kwanini amnunia Chamberlain Kwa Pesa Nyingi £35m!!!
Lakini Ni wazi Kuwa Klopp Kaona anafaa katika Philosophy Yake..
Huwezi Ukamreplace Mchezaji Bali unaboresha Position ya Mchezaji.
Mapema mmeshaanza kumtukana,kachukueni vijana kwenye academy yenu (Southampton) muwatengenezeNi Muda Wa Kufocus forward sasahivi! So muda tena Wa Kumdiscus Coutinho Kwani Now he has nothing to with Liverpool!! He Just Went to Barca and soon He will want to go PSG coz money is his ambition.
Ni bora tukaendelea Kuwajadili Wachezaji Wetu tulionao na si Mtu Aliyetuacha Mkono Kwa Dharau kufikia Mpaka Kufabricate Fake injury mwanzoni Mwa Msimu ili kushinimiza auzwe wakati akiwa anazunguka na Timu Yake Ya Taifa.
STOP TALKING ABOUT COUTINHO, HE IS IN THE SAME BOAT AS STERLING, TORRES & MASCHERANO.
Yaani wakiwa na clean sheet hatukushambuliwa kabisaa !Van dijk pesa inaongea.. Jamaa has been dreaming for.Liverpool .... He is in the right place..
Ka link up vizur
We all know merseyside derby n ngumu sana. so sitegemei mtu kudai leo clean sheet.. Cha msingi n hii win
Ila klopp ajfkrie tena.. Hawa Goalkeepers sio wa kwenda nao Champions League.. wanadaka kwa kubahatisha.. its a fact
I go for Draxler, very dangerous on striking from wing (Ronaldo style)Mkuu kama yawezekana wabebe Carrasco ni mtam sana amewazidi hao wote
Mapema mmeshaanza kumtukana,kachukueni vijana kwenye academy yenu (Southampton) muwatengeneze
Kama Newcastle, Tottenham, Nottingham Forest, Westham, PSV, Ajax, Porto, Benfica, Feyenoord, AC Milan, Deportivo la Coruna au Marseilles bado zina washabiki tena wengi kupita wa ManCity au ChelseaKataka yeye mwenyewe kuondoka so kufanya kazi na mtu ambae hayuko radhi na Kaz hiyo ni ujinga mjomba
Afuu Cha pili ushabik sio swal la juu juu ushaona eeh na ndio maana mpak leo hii zipo timu za kijinga na watu wanashabikia dadika
Kabla Ya Lallana Kuwa full fit basi Hapana Shaka hii ndiyo itakuwa FXI yetu Ambayo Ni Powerful kuliko baadhi ya Mashabiki Wanavyofikiria!
Lallana akiwa Fiti kikamilifu basi ataingia Katika FXI na AOC atakaa Sub hapo Ndiyo tutaweza Kumteremshia Tsunami Kila anaetusogelea.
View attachment 672620
Yupo sokoni au ndo hayo mambo ya kufika dau?I go for Draxler, very dangerous on striking from wing (Ronaldo style)
Eti uluhusu Can aondoke usajili Rakitic itakua undondochaRakitic hata bure simchukui