Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Solanke yupo vizuri sana sema wengi tunapenda tuone anafunga ila his presence as a no. 9 it drags back opponent defender tofauti anapokuwa firmino
Hivi kachangia nini leo?

Je anafikia uzuri wa Origi?
 
Klopp anazngua sana. it is clearly leo alienda kutafta draw yeye.. Matip kaingizwa baada ya goli kusawazishwa.. Embu lets think jamaa alkua anawaza nini kama sio kusecure draw!!!

The guys wamefight sana!! Tuwapongeze tuu

I expected two silly draws ndan ya hiz sku 3..
Matip kaingia baada ya goli la ushindi
 
Hii imeisha jamani
Mpira sometimes ni bahati
man City games na WHU,Soton,Hudd,Newcastle na jana na CP zote bahati ipo upande wao
Viva Klopp viva Liverpool
 
Naangalia game Ya watani zetu vs Everton and I must say bora hata sisi
Watani wetu timu yao ni hovyo sana na wanacheza bila malengo na soka yao iko hovyo sana yaani inahitaji moyo kuangalia
 
Tumemaliza Mwaka na Ushindi (Dhidi Ya Lesta)! Na Tumeuanza Mwaka Kwa Ushindi (Dhidi ya Burnley).....

"Mwanzo Mzuri Ni Nusu Ya Ushindi"
 
Najua mkuu ila hakustahili kutolewa kwa mkopo mana alishachangia team vizuri tu ukilinganisha na huyu kinda anae mlazimisha ache na uwezo hana bado
Huyu dogo ndio ilibidi apelekwe kwa mkopo, bado hajaiva. Kwa sasa hana kiwango cha kuwa kikosi cha kwanza liverpool

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Naangalia game Ya watani zetu vs Everton and I must say bora hata sisi
Watani wetu timu yao ni hovyo sana na wanacheza bila malengo na soka yao iko hovyo sana yaani inahitaji moyo kuangalia
I think watani unawazungumzia ni Everton
 
Screenshot_20180102-115007.png
 
Ndani Ya Siku 2:

• Tumecheza Mechi 2
• Tumefunga Magoli 4
• Tumeconcede Goli 2
• Tumepata Points 6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom