SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Yani wewe acha tu, sijui ni dharau ama nini. Mechi ya kwanza anfield tulishindwa kuwafunga na tukiwa na full kikosi leo sijui itakuwaje
Burnley mwaka huu wabishi mnoo na nashangaa huyu Solanke anaanza