Kumtoa Mane haikuwa haki
Lkn yy ni kocha anajua zaidi yetu
1-1 kwa uchovu huu sio mbaya
Tatizo kuchokaMkuu tatizo Si Kucheza mpira au Kutokucheza! Kwa zama za sasa huwezi kuingiza timu kucheza mpira Wa Kubahatisha Ushindi.
Lazima tuingize Timu Ya Uhakika! Kwasasa Firmino alivyo on Fire huwezi kumueka Bench Hata Siku moja.
Ila ni kweli pale Solanke alipaswa kutoka badala ya maneMkuu tatizo Si Kucheza mpira au Kutokucheza! Kwa zama za sasa huwezi kuingiza timu kucheza mpira Wa Kubahatisha Ushindi.
Lazima tuingize Timu Ya Uhakika! Kwasasa Firmino alivyo on Fire huwezi kumueka Bench Hata Siku moja.
Apa alikoseaWhat is this Klopp?
Mane is our best player there
Why anatolewa?
Ohh my God lkn yy ni kocha anajua zaidi!!
Oriji haaminikiBangi za Klopp.
Origi yuko vizuri zaidi ya Solanke
Tumeshinda lakini hatukustahili
Mwisho ikawaje?Klopp anazngua sana. it is clearly leo alienda kutafta draw yeye.. Matip kaingizwa baada ya goli kusawazishwa.. Embu lets think jamaa alkua anawaza nini kama sio kusecure draw!!!
The guys wamefight sana!! Tuwapongeze tuu
I expected two silly draws ndan ya hiz sku 3..
Timu zote zinacheza hivyo. Haikuanza leo. Dawa ni kuwa na kikosi kizuri kikubwa. Kama Enzi ya Benitez. Alikuwa na kikosi cha ligi na Champions.Tatizo kuchoka
Ni dhahiri wa2 huchoka
We umecheza juz af leo tena ucheze
Misuli huchemka
Then ukiangalia mechi ya mwaka jana boxing day
Nahis ilikuwa Liver na Sunderland, wachezaj walikuwa wamechoka mwanzomwisho
Yaan mpaka ukiangalia2 unaona