Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

safari imeanza kuiva sasa bado waje watupige kwetu sasa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mmewaibia Liverpool hela yao....leo Ox alikuwa anatenda miujiza sio siri [emoji23] [emoji119] ukichanganya na yule Henderson wao ilitosha kabisa okazaki na sliman kufanya yao

Yule Meku Wenger ndio kawapiga hawa ndugu zangu kwenye hii biashara hakika angalau wametupunguzia mizigo duh bado Walcot nae wakimtaka waje tu ndugu zetu hawa.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Watoto wa kiingereza hawa sijui wanashida gani hiki kizazi cha sasa

Mpira wa darasani una matatizo yake swahiba yaani wakichanganywa kidogo hawana plan B ila ukigusa bei zao utajuta.
 
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]

the idiot is completely clueless. OUT!!
 
hela ya chamberlain ingetosha kabisa kumchukua William carvalho kutoka sporting hapo tungekuwa tumepunguza shida kwenye defense midfield, wakati kwenye academy tunao akina chamberlain wengi tu
Huyu jamaaaa Mbona mlimpenda baada ya kuitosa chelsea. Leo imekuaje mnaanza kumponda. Ox ni midfilder mzuri sana atawasaidia punguzeni pressure.
 
Yule Meku Wenger ndio kawapiga hawa ndugu zangu kwenye hii biashara hakika angalau wametupunguzia mizigo duh bado Walcot nae wakimtaka waje tu ndugu zetu hawa.
Ile siku niliomba sana Ox apite kimya kimya hasisajiliwe chelsea. Alivyokataa dilii ya chelsea na kwenda Liverpool niliagiza kuku wa kienyeji kutoka dakawa mpaka Dar. Aiseee nilikulaje supu na kusherekea.
Ata hivyo hiyo ni kombe la mbuzi tu haina shida.....bado kuna;
1. UEFA champion league
2. Epl
3. FA Cup haya ndo makombe yenu lakini pia FA Cup nayo siyo size yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom