Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapana mkuu. Carabao inakupa tiketi ya moja kwa moja kushiriki Uropa cup. Fuatilia utapata majibu. Lakini kwa upande wa majogoo wanaliona kama kombe la mbuzi.
Bingwa wa Fa, Carabao na anaeshika nafasi ya 5 kwenye league wanashiriki Europa Cup
 
"We're in great form after beating Liverpool 2-0"
IMG_20170920_124903.jpg
 
Mlisema msimu huu wenu.

Tunawasubiri.

Mkuu usituhukumu Kwa Mtazamo wa Mtu mmoja...

Mkuu Tokea Mwanzo wa Msimu tulikuwa Tunaprotest Kuhusu Huyu BRENDAN KLOPP na Falsafa Zake Mbovu Za Kuamini Kuwa Jiwe anaweza Kuligeuza Almasi.....

Mkuu Tunaiunga Mkono Liverpool Kwasababu LIVERPOOL IS INSIDE OF OUR BLOOD .... Tutaendelea Kuisapoti till the end of our breath....

Lakini Kupenda haiwi sababu ya Kututia Upofu Tusiyaone Madhaifu Ya Timu yetu...

For Now Liverpool is a weak Squad! You Can't Compare Liverpool even with Newcastle achiliambali Chelsea, Man U, Man City, Arsenal au Spurs...

It is a Shame to hope for Top 4 while we Don't deserve even to be in Top 6....

Shit team....
Shit Manager
Shit Players

Hendo, Lovren, Klavan, Milner, Moreno, Trent, Sturidge they will Never Never Never Never Never Never ever lead us to Victory...

Only the so called Malafyale is the one who think Francis Cheka Can beat Floyd Mayweather Jr. something that will never happen in this damn world....
 
Hii ndio faida ya kumnunua Chamberlain na kutokumuuza coutihno....

Mkuu Coutinho unamuogopa Kiasi Ya Kwamba Atakutia Uchizi.. Unachowaza Wewe Ni Kuwa Coutinho aondoke Liverpool ili ulale Kwa Amani...
Mkuu usimuogope kiasi hicho kwani Next Summer Nothing Can Stop him from Leaving Merseyside...
 
Boss wa Liverpool akanusha maneno ya mashabiki wa liva wanaodai kwamba timu yao inatatizo la beki...yeye anasema timu haina ilo tatizo na cha zaidi anataka aongeze nguvu ya kushambulia ili wapinzani wake wasiende kwenye goli lake...hii timu bora apewe hata Julio Kiwelu tu
 
Huyu Bwege Hapa Ndiyo Anaponiudhi! Tatizo analijua Lakini Still Analilea →→ Jürgen Klopp acknowledged his disappointment at Liverpool's Carabao Cup exit to Leicester City on Tuesday night, admitting defensive errors cost his side at the King Power Stadium.

BTW: Na tujipange Kwa Ajili Ya Kuendelea Na Mapambano! Bado Hatujachelewa Nafasi Tunayo......
 
Zizzou OUT
Kafungwa leo na Real Betis ktk uwanja wa nyumbani!
Zizzou lzm nae afukuzwe!
 
mkuu, just ignore the guy. it must be a psychiatric case or something!!

Endelea kushangilia netball tu!
Hujui lolote kuhusu the famous sport!!
Klopp out
Zizzou out
Koeman out
Wenger out
UPUUZI mtupu!!
 
hahahaa!
say

hahahaa!!
dah mkuu...unajua maana ya voyeurism?

Zizzou OUT
Kafungwa jana na Betis pia katoa sare mbili na akina Levante!
Zizzou OUT
Narudia tena endelea tu na mchezo wako pendwa,kwenye soka hujui kitu!!
 
  • Thanks
Reactions: kdc
Zizzou OUT
Kafungwa jana na Betis pia katoa sare mbili na akina Levante!
Zizzou OUT
Narudia tena endelea tu na mchezo wako pendwa,kwenye soka hujui kitu!!

Yani Waafrika Kama Tulivyoweusi basi na Akili Zatu Huwa Nyeusi...

Hivi Unapata Wapi Ujasiri Wa Kumlinganisha Zidane na Klopp??

Hebu Taja Trophy Za Zidane Za Miaka 4 na Utaje Za Klopp za Miaka 14 ikisha Ulinganishe Yupi is The King of the Modern Football...

Zizzou Ni Bingwa Mtetezi wa UCL na fahamu Kuwa miongoni mwa sababu za Real Kuharibu ni kwamba 50% ya First Timu yake ipo Majukwaani haichezi...

Kroos, Marcelo, Benzema, Ronaldo... Hawa wote Wameiathiri Timu...

Kumbuka Sisi Tunaboronga Tukiwa na Kikosi Kamili...

Migno, Gomez/Trent, Matip, Lovren/Klavan, Moreno, Can/Gini/Hendo, Coutinho/Mane/Salah/Firmino...

Sasa Hapo Unataka Kuilinganisha Liverpool inayoboronga ikiwa imekanilika Kikosi Chake na Real iliyopungua??

MY TAKE:
Zidane Tokea Aichukue Real sasahivi Ndiyo Anakwenda Kombo jambo ambalo analifanyia Kazi... Lakini Klopp Huu ni Msimu Wa Tatu ana matatizo hayo hayo na anashindwa Kuyafanyia Kazi...
 
Yani Waafrika Kama Tulivyoweusi basi na Akili Zatu Huwa Nyeusi...

Hivi Unapata Wapi Ujasiri Wa Kumlinganisha Zidane na Klopp??

Hebu Taja Trophy Za Zidane Za Miaka 4 na Utaje Za Klopp za Miaka 14 ikisha Ulinganishe Yipi is The King of the Modern Football...

Zizzou Ni Bingwa Mtetezi wa UCL na fahamu Kuwa 50% ya First Timu yake ipo Majukwaani haichezi...

Kroos, Marcelo, Benzema, Ronaldo... Hawa wote Wameiathiri Timu...

Kumbuka Sisi Tunaboronga Tukiwa na Kikosi Kamili...

Migno, Gomez/Trent, Matip, Lovren/Klavan, Moreno, Can/Gini/Hendo, Coutinho/Mane/Salah/Firmino...

Sasa Hapo Unataka Kuilinganisha Liverpool inayoboronga ikiwa imekanilika Kikosi Chake na Real iliyopungua??

MY TAKE:
Zidane Tokea Aichukue Real sasahivi Ndiyo Anakwenda Kombo jambo ambalo analifanyia Kazi... Lakini Klopp Huu ni Msimu Wa Tatu ana matatizo hayo hayo na anashindwa Kuyafanyia Kazi...

Upo wrong again!
Na nitaendelea kuwafundisha bila kuchoka!
Pep Guardiola kabla hajaja EPL HAKUWAHI kukosa kikombe cha ubingwa wa nchi toka Spain hadi Germany-Sababu ligi za huko ni two sided team !!
Pep kaja EPL mwaka wa pili sasa kachukua nn?
Mwaka huu hata kuchukua napo ni hatihati!

Mpe Zizou wako BVB na Bayern hii uone kama atachukua hat ngao lkn Klopp kachukua Bundesliga mbili Germany mbele ya Bayern

Jana Madrid kafungwa kwake na Betis nani hakucheza zaidi ya Benzema?
Aje EPL uone kama atatamba hivyo
Amuulize Pep
EPL ni 'mnyama'mwingine kabisa!
 
Klopp ndiyo kocha pekee hapa duniani kwa sasa aliye available kutupeleka Canaan!
Tuna sema tumeisha choka kufundishwa na trash coaches
Klopp we trust you kwa sisi tunao jua soka!!
 
Klopp ndiyo kocha pekee hapa duniani kwa sasa aliye available kutupeleka Canaan!
Tuna sema tumeisha choka kufundishwa na trash coaches
Klopp we trust you kwa sisi tunao jua soka!!
Hivi unaamini kabisa toka moyoni kuwa liverpool msimu huu itafanya vizuri kuliko msimu uliopita? Kama ndio hebu niambie ni kwa sababu gani kwa kuwa mapungufu niliyoyaona liverpool msimu uliopita bado nayaona na msimu huu, kwa nini msimu huu uwe tofauti ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom