Bandugu kuna mtani hapa amenipasha habari kwamba Leicester walifanya karamu na walinunua majogoo yaliyonona na kuyachinjwa kwa ajili ya supu, vipi majogoo yako yamepona kweli au ndio hayo yaliyotendwa na Leicester?In Klopp I trust
Sack Klopp
Sack Conte
Sack Wenger
Sack Koeman
We do not need any defeat nor tie!

