Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unamzungumzia Cote OUT ambae tayari ana One Trophy Kibindoni???? Katu Huwezi Fananisha Almasi (Conte) na Mkaa (Klopp) ukasema ni sawa...

Pia msimu huu tunamaliza Empty Handed! Trust me....

Mourihno aliwapa Chelsea ubingwa na mwaka unao fuatia wakamfukuza kazi!
Kwa maelezo 'yenu'kocha anapaswa kushinda kila game na Conte hajashinda so afukuzwe!
Tunafuatilia matokeo ya mwaka huu,ya jana sio ya mwaka jana!
Conte OUT
 
Mwaka Jana Man City Kwetu aliambulia Point 1 na Goal Difference -1 Kwenye Mechi mbili (H and A)...

Mwaka huu Man City Kashaambulia Points 3 na Goal Difference +5 kwenye Mechi Moja tu (H)....

Yah! Tupo Vizuri Kuliko Mwaka Jana.... Ridiculous!

Mwaka huu mechi moja tuna + 4 kwa Arsenal
Mwaka jana ilikuaje sijui!
 
Lol....

IMG_20170918_081247.jpg

Sijengi Picha! Yani Katika Shot 5 Nne Zimelenga on Target!!!! (80% accuracy).....

Hii Defence hii.....
 
Conte OUT
Haiwezekani ashindwe mfunga Arsenal kwake wkt nyanya Liverpool alimfunga 4-0
Conte OUT
Klopp OUT
Wenger OUT
Koeman OUT
Ni kazi sana kujadili soka na watu wenye mihemuko!

Mpira hauko hivyo wewe malafyale man city alitoka 1-1 na everton ambae kala 4-0 kwa manchester united kuna muda mpira unakataa tu
 
Tupo vizuri zaidi ya mwaka jana
Tuna depth ya kutosha
Worry not mkuu

Mi muda wote nakwambiaga hakuna liverpool iliyokuwa bora kama ya gerard houlier na rafa benitez unakataaga naipenda sana liverpool ya benitez kwanza alikuwa na kikosi kipsna chenye majembe fikiria katikati kuna alonso,masherano + steven gerald hata lucas leiva alikuwa mzur sana daniel agger daaaaa saiv wakina calavan sijui klop anawachezaj wepesi sana ila sio wabovu.
 
cries for [HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG] continue.....

'Liverpool is a circus and Jurgen Klopp is the biggest clown... why should his job feel safe?'

A Liverpool fan's rant on national radio has gone viral after he called Jurgen Klopp a “clown” and called for the German coach to be sacked.

The supporter, known only as Frank, rang into BBC Radio 5 live's 606 show following the home draw with Burnley, venting his frustration at the Reds boss.

In a three-minute discussion, Frank laid into Klopp's tactics and the defence, before comparing him with Brendan Rodgers.

“I've had enough now, I've actually had enough,” he said. “Do you know what, no disrespect to Burnley. Defence, we said this since the first day he (Klopp) arrived, I can't understand one thing.

"I want all those Liverpool fans that are listening out there on this radio show that might be heading back home in their cars, and have spent all their hard-earned money, why don't they ring up this show and say why Jurgen Klopp should deserve to stay there.

“Because we've got one of the biggest circuses at Anfield at this moment, at Liverpool Football Club, and at the biggest clown of the lot is Jurgen Klopp.”

The BBC posted footage of the phone call, with Robbie Savage listening in the studio, sniggering as the tirade continued.

“I love Jurgen, because when he came in he gave all the attributes of showing the passion,” he added. “Well I'm a fan, I am passionate as well, but what I see and what I hear, and what I have to go through when I see my team that haven't got a flipping defence, a goalkeeper that can't catch a ball, they've got no defensive coach at the club. Why should his job feel safe at Liverpool?

“We looked good looking forward, and guess what? There was no plan B, and no plan C. Well, I'll give you plan A for Jurgen Klopp: You've had your time, son.

“At the end of the day, thank you very much but I want a manager that needs to understand football reasons to show that you build a team from the back, mate.

“I've been waiting 25 years for them to win the title, and I saw a man who I believed in. He's got a worse record than Brendan Rodgers. Now they've started to call him Brendan Klopp.”

Klopp has come under increasing criticism over the past week following last Saturday's 5-0 defeat to Manchester City with two successive home draws with Sevilla and Burnley.
 
Mi muda wote nakwambiaga hakuna liverpool iliyokuwa bora kama ya gerard houlier na rafa benitez unakataaga naipenda sana liverpool ya benitez kwanza alikuwa na kikosi kipsna chenye majembe fikiria katikati kuna alonso,masherano + steven gerald hata lucas leiva alikuwa mzur sana daniel agger daaaaa saiv wakina calavan sijui klop anawachezaj wepesi sana ila sio wabovu.
msimu huu legend Benitez ataifikisha pazuri sana Newcastle. akiboreshewa squad kwenye January window, Newcastle inaweza kumaliza kwenye top 6.
 
In Klopp I trust
Sack Klopp
Sack Conte
Sack Wenger
Sack Koeman

We do not need any defeat nor tie!
 
  • Thanks
Reactions: kdc
In Klopp I trust
Sack Klopp
Sack Conte
Sack Wenger
Sack Koeman

We do not need any defeat nor tie!
Mkuu hawaja jamaa watakuumiza kichwa tu wao wanataka kushinda tu.Huyo Conte Kapigwa na Burnley FC. Tot wametoa Suluhu na Burnley FC nyumbani. Kwanini kwetu watu wamepanic hivi? au ni zile Goli za Man City zimewavura?
Nasema hivi if you can't support us when we loosing don't support us when we win.
 
Na hayo ↑↑↑ ndiyo mapenzi sahihi ya mtu kuipenda timu yake....

Ni Lazima daima ufikirie mafanikio! Na mafanikio hayaji kwa kupoteza, bali ni kwa kushinda....

Mkuu sisi hatuwazi ushiriki bali tunawaza kushinda ili tubebe trophy...

Sorry bro! wewe ni katika wale munaofurahia Liverpool Kushiriki Champion League?....
 
Liverpool FC vs Leicester City

Liverpool: Ward, Flanagan, Gomez, Klavan, Robertson, Henderson, Grujic, Wijnaldum, Oxlade-Chamberlain, Coutinho, Solanke.

Subs: Karius, Milner, Moreno, Ings, Markovic, Woodburn, Alexander-Arnold.
 
new combination kwny CB's sjui itakuaje.. ila naona bado klopp hajapata first 11 yake hadi leo since pre season.. Let him keep trying..

I see us winning this game today!!

Nataka kuingalia tu hii defense!! Course Klavan anazid kupauka
 
Chanel gani inaonyesha mpira huuu....samahani mkuu nisaidie
 
Liverpool FC vs Leicester City

Liverpool: Ward, Flanagan, Gomez, Klavan, Robertson, Henderson, Grujic, Wijnaldum, Oxlade-Chamberlain, Coutinho, Solanke.

Subs: Karius, Milner, Moreno, Ings, Markovic, Woodburn, Alexander-Arnold.
Mkuu channel gani inaonyesha huu mpira nisaidie aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom