fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Wewe unajua utabiri tu basi.Mkuu nakushauri endelea kushabikia netball yako
Soka hujui kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua utabiri tu basi.Mkuu nakushauri endelea kushabikia netball yako
Soka hujui kitu
Wewe huna historia nzuri na Chelsea kwenye UEFA. ..mara zote amekuwa akikupiga tu
Sijui leo kwa sevilla kama utatoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa si ulisema bunley kamfunga liver nje ndani?
Washabiki wa Liverpool wanajua mpira kwenye mtandao tu. Na kutabiri ubingwa ambao nao mwisho wa siku wanajikuta hata kombe la mbuzi hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho kukutana na Sevilla alikupiga 4-1 final Europa ....Leo unakutana naye tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara zote katupiga? Hivi we una akili kweli?Wewe huna historia nzuri na Chelsea kwenye UEFA. ..mara zote amekuwa akikupiga tu
Sijui leo kwa sevilla kama utatoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila leo si Europa, Ni Champion League.
Jana umekutana na Timu Hata Taifa inalotoka halitambuliki! umejilia Pweza Gizani sasahivi unaleta kelele ukidhani Una Timu Ya Kupambana CL kwa Maiti uliyemfunga Jana....





mkuu leo tuko pamoja ...USIOMBE UKUTANE NA ZAPPACOSTA ..Mara zote katupiga? Hivi we una akili kweli?
Angalieni msije mkakimbiana humu ndaniLeo Tunamfunga Sevilla wakuu msiwe na wasiwasi

Leo Tunamfunga Sevilla wakuu msiwe na wasiwasi
Lovren sijawahi kumkubali
Mara ya mwisho kukutana na Sevilla alikupiga 4-1 final Europa ....Leo unakutana naye tena..
Sent using Jamii Forums mobile app