Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

iran wright kasema jana mchezaji km ox amepewa ofa 180000 hatak kusign kw sababu saiz uko kwny peak akumbuki kipind ambacho uko injury achez karibu msimu mzima timu inamvumulia nw anaanza kuwa sawa analinga km mcchezaji anakataaa hela nying ivyo aondolewe kwny timu ndo mana anacheza off mood
 
7a28e13ddf1508ca08de65be0b3861b5.jpg

Vipi kwani hawajasema kama wata m suck Wenger??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kabisa, wemeingia na Wenger ndoa ya kikiristo mpaka kifo kiwatenganishe
 
Arsenal waanza kuondoa wachezaji wasumbufu.

Chamberlain anafanya mazungumzo ya kujiunga na Chelsea, timu zimekubaliana ada ya uhamisho pauni milioni 35.


Timu ya Chelsea mchana huu imekubaliana na Arsenal kumsajili moja wa wachezaji muhimu Alex Oxlade Chamberlain na kiasi cha ada ya uhamisho kinasemwa ni pauni milioni 35.

829188482.jpg

Alex Oxlade Chamberlain hivi sasa yupo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Uingereza.

Meneja wa Chelsea Antonio Conte anakata kumtumia Ox kucheza kwenye nafasi ya beki wa kulia ambayo Chamberlain huicheza anapokuwa Arsenal kiasi ca kuitwa "most versatility player" yaani anaweza kutumika kucheza nafasi mbalimbali.

Ox Chamberlain wiki ilopita alifanya mazungumzo na Arsenal juu ya mkataba mpya ambapo aliwekewa mezani kiasi cha pauni 180,000 kwa wiki kaisi ambachi alikataa.

Chelsea inatarajia kumlipa Ox kiasi cha pauni 200,000 kwa wiki.

Arsenal ipo katika mtihani mgumu msimu huu baada ya jana jumapili kufungwa goli alba yaani 4-0 na Liverpool huko Merseyside ambapo wachezaji Fimimho, Mohamed Salah, Sadio Mane na Daniel Sturridge walifunga goli hizo alba.

Arsenal haikuonyesha kabisa kujituma katika mchezo huo na mshambuliaji Alex Lazazette ambae alisajiliwa kwa kiasi cha pauni milioni 60 alianzia kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.
 
Back
Top Bottom