Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20170911-WA0027.jpg
 
Hizi historia hazina maana yetote kwa sasa. .

Kama mlishindwa kubeba ligi kipindi cha akina Gerrard. Milner, Lucas Alonso ...nk basi andiken maumivu tu ..maana kwa ubovu wa kikosi ulichonacho usitegemee kuvuka hata hatua ya makundi UEFA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe @Ollachuga ni Shabiki Maandazi na Kitu Pekee Kwenye Mpira unachokijua nikuwa Mpira umeanza Kuchezwa na Drogba, Lampard, Joy Cole, Makelele, Gallas, Bridge, Cavalho na Geremi Kwasababu ndiyo wachezaji ulioanza Kuwafahamu pale ulipomfata Morinho Chelsea..

Lakini Wanaojua Mpira Basi Wanaweweseka Kuomba Wasijepangiwa Kukitana na Liveepool kwani Liveepool CL ni Rahisi kuliko EPL...
Na ninatamani Kwenye Mtoano (16 Bora) nikutane na Chelsea uone Nitakachokufanya.
 
Kwa kiasi fulani upo sahihi ila unawezaje kulinganisha uwezo wa bunley na man city? Ukianbiwa utaje timu3 ambazo zinaweza kuchukua ubingwa man city utaiweka lakini sio bunley, sasa jiulize uko pungufu na unacheza na watu ambao wanaweza kutwaa ubingwa na upo pungufu unacheza na timu inayoweza kushuka daraja
Huyu burnly msimu uliyopita si alikutandika nje ndani au siyo wewe. Ebu matokeo ya msimu uliyopita

Chekii timu unayosema inashuka daraja inavyokunyosha
9ed585ab8ee323fc625c6f545fdfadbc.jpg
6c05dc91a5a9d800f44d039d568f8cac.jpg
8b5d2217b2289fd22de1decdaff44754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Absolute garbage!
3-0 ilikua wakati Cahil tu kapewa kadi,anatolewa Fabr tayari mmeisha pigwa 3!Uwe na kumbukumbu
Kama trash team kama Burnley ambayo likely itashuka daraja inakupiga 3 sababu tu Cahil katolewa vipi sasa utasalimika 5 kwa Man City wanaofikiriwa hata kuwa mabingwa?
Nonsense at all!Unatujazia sred yetu tu kwa michango ya hovyo
Acha kujitekenya hii ndiyo timu inayotaka kushuka dajara.
7f993818968e2afe0c6bd25d279bb4d8.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujitetea wewe ..Chelsea pamoja na upungufu wa players wawili tena muhimu dhidi ya Barnley ..bado ilifanikiwa kurudisha magoli mawili ...sasa wewe kutolewa tu mane unapigwa tano, je angetolewa mwingine ci ungepigwa kumi

Wee kubali timu ni mbovu na ilizidiwa kila upande.

Sent using Jamii Forums mobile app

maajabu leo barnley analinganishwa na cty kiuwezo
 
Shaffih anajuilikana ni Mnazi wa Man U tu lakini Hajui Mpira!

Afahamu Kuwa Ukubwa wa Tatizo Kwa Aliyechezewa Faulo Haidetermine Ukubwa Wa Adhabu.

•Mwaka 2002 world Cup Katika ya Brazil vs England Ronaldinho Alipewa Red Car Kwa Kucheza Faulo ambayo Haikuleta athari yoyote Kwa Aliyechezewa Faulo. Lakini tu Kwa vile Gaucho Alikusudia Kucheza Faulo Mbaya haikutazamwa athari ya aliyechezewa Kuwa alikwepa.

•Pia Mwaka huo huo 2002 Mechi Kati ya France vs Senegal Thiery Henry alipewa Red Card for the same foul bila ya Kumjeruhi yoyote..

•Lakini akumbuke Joy Cole akiwa Chelsea aliumizwa Kwa Kuchezewa Faulo mbaya na Akakaa juu Mwaka Mzima na Aliemuumiza Hakuadhibiwa kutokana na Mazingira ya Kutokea Hiyo Faulo.

•Hata last Season Wachezaji Walioumizwa Kwa Kuchezewa Faulo Mbaya Zaidi na Wakakaa Juu Kwa Muda Mrefu bila ya Kuadhibiwa Waumizaji ni: Coutinho, Barkley, Henderson, Ibrahimovic, Eric Baily, Clyne, Gabriel Jesus (Alivunjwa Mguu), Vincent Kompany, Virgil Van Djik n.k.

√√KWAHIYO ADHABU YA RED HAITOLEWI KWA KUANGALIA ETI ALIYEFANYIWA FAULO KAUMIA KIASI GANI! BALI INATOLEWA KUTOKA NA MAZINGIRA YA KUTOKEA HIYO FAULO YENYEWE, INTENTION YA MANE HAIKUWA KUMUUMIZA KIPA BALI NI KUUCHEZA MPIRA, ILA KIPA NDIYE ALIYETOKA MPAKA NJE YA BOKSI NA KUMVAMIA MANE.

MY TAKE:
UKUBWA WA MAJERAHA YA HUYO KIPA HAIMAANISHI UKIBWA WA ADHABU
 
Chekii timu unayosema inashuka daraja inavyokunyosha
9ed585ab8ee323fc625c6f545fdfadbc.jpg
6c05dc91a5a9d800f44d039d568f8cac.jpg
8b5d2217b2289fd22de1decdaff44754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nikisema Mashabiki wote wa Chelsea hakuna hata mmoja anaejua mpira Kwasababu wao wamedandia tu kwa kumfata Morinho! Huwa wanakataa! Unaona sasa wewe unavyojifariji kwa Kitu usichokijua??

Kwa Taarifa yako Burnley Tokea apande Daraja mwaka 2009 katufunga Mara Moja tu Ambayo Ni Mwaka Jana..
Zilizobakia Zote Tumemfunga Yeye Bila ya Hata Kutoa Draw..

Lakini wengi Musiojua Mpira ni nini Munahisi Burnley Ni Mbabe Kwetu..

Hebu Kaangalie Rekodi Zako Chelsea vs Burley ikisha ulete Mrejesho hapa Burley atakuwa Mbabe wa nani katika ya mimi au wewe..

Screenshot_20170911-225359.png
Screenshot_20170911-225410.png
 
Huyu burnly msimu uliyopita si alikutandika nje ndani au siyo wewe. Ebu matokeo ya msimu uliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaumwa wewe nani msimu uliopita alimtandika liver nje ndani? Angalia huyo bunley alimaliza ligi wa ngapi na hata hiyo game aliyoshinda angalia nani aliposses mpira kuliko mwenzie, all in all man cty kamzidi bunley by far, huwezi linganisha uwezo wa cty na bunley
 
Mkuu usishangae ni Mshabiki wa Chelsea huyo aliyependa Mpira Ukubwani (2004) Baada ya Morinho Kuhamia Chelsea!

Washabiki Wa Chelsea Siku Zote Ninasema Hawajui Mpira watakusumbua tu. Manake hata hilo jambo dogo la Kuwa Game ya pili Burnley Tulimfunga 2 kwa 1 pia halijui! Atajua nini jengine...!
 
Wakuu, pamoja sana. Majanga hutokea lakini sayo mwisho wa timu yetu. Hakuna mtu ndani ya timu yetu anayefurahia kufungwa.
Tuna game kubwa na muhimu sana mbele yetu na bila shaka vijana watarekebisha makosa na kusonga mbele. YNWA.
 
Mkuu usishangae ni Mshabiki wa Chelsea huyo aliyependa Mpira Ukubwani (2004) Baada ya Morinho Kuhamia Chelsea!

Washabiki Wa Chelsea Siku Zote Ninasema Hawajui Mpira watakusumbua tu. Manake hata hilo jambo dogo la Kuwa Game ya pili Burnley Tulimfunga 2 kwa 1 pia halijui! Atajua nini jengine...!
Washabiki wa Liverpool wanajua mpira kwenye mtandao tu. Na kutabiri ubingwa ambao nao mwisho wa siku wanajikuta hata kombe la mbuzi hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe @Ollachuga ni Shabiki Maandazi na Kitu Pekee Kwenye Mpira unachokijua nikuwa Mpira umeanza Kuchezwa na Drogba, Lampard, Joy Cole, Makelele, Gallas, Bridge, Cavalho na Geremi Kwasababu ndiyo wachezaji ulioanza Kuwafahamu pale ulipomfata Morinho Chelsea..

Lakini Wanaojua Mpira Basi Wanaweweseka Kuomba Wasijepangiwa Kukitana na Liveepool kwani Liveepool CL ni Rahisi kuliko EPL...
Na ninatamani Kwenye Mtoano (16 Bora) nikutane na Chelsea uone Nitakachokufanya.
Wewe huna historia nzuri na Chelsea kwenye UEFA. ..mara zote amekuwa akikupiga tu

Sijui leo kwa sevilla kama utatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea alirudisha goli mbili..wee umerudisha hata moja? 5-0 ... iyo defense ni mbovu kias gani. .

Sent using Jamii Forums mobile app

Goli mbili na Burnley?
Quality sawa Burnley inayo pigania isishuke daraja na Man City wanao pewa chapuo kuwa mabingwa?
By the way hata kama walifunga bao 2 ndiyo walipata point yyt ile?
Nakushauri endelea tu kushabikia netball yako,kwenye soka huku huwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom