Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool wanafanya kila wawezalo kumfanya chamberlain ajisikie yupo nyumbani

Mimi ni mtu nisiejulikana, nafanya mambo yasiyojulikana
 
Nilishawambia kabisa kikosi chenu ni finyu sana ..nyie ni wakushinda gemu moja na kufungwa gemu tatu, angalia upuuzi mnaofanya leo ..hamna kitu mmefanya kabisa, uyo mane anacheza ma faulo ya kijinga tu ..acha mpigwe tu maana ndo mlichochagua.

Kuifunga arsenal mkajiona mko bora sana na mbaya zaidi Cotinyo mmemzuia hahaha mtakula vipigo mpka mpate akili, BILA COUTINHO LIVERPOOL HAKUNA KITU.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Wale Mashabiki Wa Chelsea Waliokua Wakishadidia Coutinho Aondoke Liverpool Sasa Wameshaanza Kuingia Baridi na Kutetemeka Baada Ya Kumuona Coutinho Karipoti Mazoezini Na Kutrain Pamoja Na Kikosi Kizima na Wala Hakutrain Pekeyake kama anavyofanya VVD ili kushinikiza Kuuzwa..

Ikumbukwa Kuwa Mashabiki Wa Chelsea Wanamuogopa Coutinho Kuliko hata Messi au Mchezaji Mwengine Yeyote yule..

😀😀😀


View attachment 583558
Hahaha eti tunamuogopa COUTINHO hahaha uyo mme mzuia unadhani atacheza mpira wake wa kawaida!! Nadhani leo mmepata mnachokiitaji, timu bado mbovu sana ..halafu mna mategemeo kuchukua ligi hahaha ..labda mkaibe.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
52cfadd3eead5fa943eb271536a1426d.jpg


Mimi ni mtu nisiejulikana, nafanya mambo yasiyojulikana
Kwa ukumbavu kama huu unategemea kushinda kweli. LIVERPOOL ITACHUKUA UBINGWA PINDI MTOTO WANGU WA KWANZA ANAANZA CHUO MWAKA WA KWANZA PALE OXFORD

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Chamberlain kachezea goli nane katika mechi mbili..lol
 
Ox chamberlain is 4-0 to 4-0 midfielder

Mimi ni mtu nisiejulikana, nafanya mambo yasiyojulikana
 
Dakika mbili za kumuombea kijana wetu Oksleidi 4 chamberlain huenda tukampunguzia machungu.
 
Nilikitarajia Kabla Ya Msimu Kuanza! Ila Walioipenda Liverpool Kuanzia 2010 Ndiyo walitangaza Ubingwa Msimu huu! Lakini wanashindwa Kufahamu Kuwa Hakuna Timu inayochukua Ubingwa na Kikosi Kisichozidi Wachezaji 13...
aiseee poleni , matano mengi sana, na bado Man Utd hajawafunga ya kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom