bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,737
- 10,364
Leo majogoo mnachinjwa kwa kutumia Nyundo na Sio Kisu tena kama utamaduni ulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliaaa!! Game haijaisha badoTehee teheee teheeeee mtu asiyejulikana kakipiga tayari kitimu kimoja kisichojulikana
Mimi ni mtu nisiejulikana, nafanya mambo yasiyojulikana
Kuna kijitu kisichojulikana kimepewa kadi isiyojulikanaTuliaaa!! Game haijaisha bado
ka
Cio Liverpool fan ila ile cio red card
Kwanza imetokea eneo la mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
jamani poleni, kwasasa lakini .
Indeed broh'. got youKwa Tunaojua Tatizo la Timu yetu lipo wapi huwa hatupati tabu sana kwa Gemu kama ya Leo!