Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Baada ya Rooney Kushtakiwa Kuendesha Gari Akiwa Amelewa....
Uliskiliza kipindi Klopp anatua Melwood at first time, aliweka wazi habari za ubingwa tumpe muda na ndo anachofanya sasa kutengeneza timu akiwa na watu hao hao unawaona leo ni average prayers believe me tutafanikiwa tukiwa nayeNikiangalia hayo maandishi Mekundu Na Kuona Kumbe Mtazamo wako sio Trophy bali ni Kupigania UEFA a.k.a Top Four! Basi Hapo Liverpool ni bonge la Timu na limeshakamilia Kila idara wala haihitaji tena kusajili au kutengenezwa zaidi kwani ilivyokuwa hatugombanii Ubingwa, basi timu ya kugombania top 4 tayari tunayo...
OX leo akiwa anaichezea England ina maana alinyoa nywele zimeota baada ya siku mbili ?Yah! Huu ndiyo muonekano wa Mchezaji wa Liverpool....
Baada ya OX Kuhama Kule kwenye Kigenge Cha Wenger pia Amezinyoa Zile Nywele Za Kiajabu ajabu za Kiasanali....
Sasa anza Kuadapt maisha ya Liverpool boy...
View attachment 581463
Sheyi Ojo si yupo kwa mkopo?Kikosi Kamili Kilichotajwa n Klopp Cha Wachezaji Walioorodheshwa Kwenye List ya Kucheza Champion League...
Full squad:
Loris Karius
Simon Mignolet
Danny Ward
Dejan Lovren
Joe Gomez
Ragnar Klavan
Alberto Moreno
Andy Robertson
Joel Matip
Jon Flanagan
Conor Masterson
Trent Alexander-Arnold
Gini Wijnaldum
James Milner
Philippe Coutinho
Jordan Henderson
Marko Grujic
Adam Lallana
Alex Oxlade-Chamberlain
Emre Can
Cameron Brannagan
Ovie Ejaria
Sheyi Ojo
Roberto Firmino
Mohamed Salah
Daniel Sturridge
Sadio Mane
Dominic Solanke
Ryan Kent
Rhian Brewster
Ben Woodburn
Harry Wilson/B]
Clyne anapona lini?!Kikosi Kamili Kilichotajwa n Klopp Cha Wachezaji Walioorodheshwa Kwenye List ya Kucheza Champion League...
Full squad:
Loris Karius
Simon Mignolet
Danny Ward
Dejan Lovren
Joe Gomez
Ragnar Klavan
Alberto Moreno
Andy Robertson
Joel Matip
Jon Flanagan
Conor Masterson
Trent Alexander-Arnold
Gini Wijnaldum
James Milner
Philippe Coutinho
Jordan Henderson
Marko Grujic
Adam Lallana
Alex Oxlade-Chamberlain
Emre Can
Cameron Brannagan
Ovie Ejaria
Sheyi Ojo
Roberto Firmino
Mohamed Salah
Daniel Sturridge
Sadio Mane
Dominic Solanke
Ryan Kent
Rhian Brewster
Ben Woodburn
Harry Wilson/B]
Mmefanya makosa makubwa sana kumzuia Cotinyo kwenda barca...sasa mtaona kitu atafanya uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi bora Uingereza ze Champion of England. Chelsea, hakika nawaambia. ..mvua ya magoli itawanyeshea.Watu wazito kama wepi mkuu?
Hapo hakuna hisia mkuu ..wee jiandae na mvua ya magoli. Hakika nakwambia ukifanikiwa kupenya mbele ya Luiz, Rudger, Azp, Bakayoko Zapa...basi ubingwa ni wako.Labda Chelsea kwasababu Ndiyo anayoishabikia anahisi kuwa ndiyo timu nzito kwa Liverpool... 😀😀😀
Klopp anakosea sana kumnyima mchezaji uhuru wake ..tena asijaribu kumpiga bench kabisa, ndo ataharibu kila kitu. Cotinyo kaona mbele liver hakuna future kabisa ...Yeye ndiye atakaejikanyaga kwa lolote atakalolifanya...
1) Akicheza chini ya Kiwango ataishia benchi na atakosa Soko hilo analoringia kwani Hakuna Barcelona itakayohitaji Flop.
2) Na Akileta Jeuri ajue kama Klopp ni mjeuri kuliko yeye! Atamgeuza Kama Sakho... Atampeleka U23s ambako hataonekana na Mtu yeyote.
NOTE: Njia pekee ya Kuforce move ni Kucheza kwa bidii zaidi ili azidi Kuonekana kwani Barcelona bado ni wadogo kwa Kuforce selling ya Mchezaji!!
ila atakapoonekana na PSG ni lazima atauzwa kwani wao wanaendana na Falsafa ya Kuwa Hela inaongea.. Wanajua Kuforce move kwa kutumia hela na si kutongoza kama Barcelona.
Hahahaaa! Huyo usimzungumzie msimu uliopita tulimfunga na yeye alishindwa kutufungaKikosi bora Uingereza ze Champion of England. Chelsea, hakika nawaambia. ..mvua ya magoli itawanyeshea.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Kikosi bora Uingereza ze Champion of England. Chelsea, hakika nawaambia. ..mvua ya magoli itawanyeshea.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Kikosi bora Uingereza ze Champion of England. Chelsea, hakika nawaambia. ..mvua ya magoli itawanyeshea.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Sheyi Ojo si yupo kwa mkopo?
Sawa nimekuelewa, kwa nini Clyne hajajumuishwa?Mkuu ndiyo Shey Ojo na Ryan Kent Wapo nje ya Liverpool Kwa Mkopo! Lakini Timu Walizopelekwa Hazishiriki CL, kwahiyo Kwenye Kandarasi Yao Ya Mkopo Wanayo Option ya Kuweza Kuwaita Muda Wowote Watakapowahitaji Wawe kama ni Back up itakapotokea Timu Kuandamwa na injuries...
Huwezi ku compete kikosi cha Liverpool na Chelsea msimu huu. Ni wazi kabisa kikosi cha Chelsea kimehimarika kila idara kwanzia festi 11 mpka benchi. .Mara ya Mwisho Chelsea Kumfunga Liverpool ilikuwa ni JUMANNE 27th JANUARY 2015 katika Uwanja wa DARAJANI...
Sasa sijui ujasiri huo wa kusema utamfunga Liverpool umeupata wapi!!!!!!!
Kabla Mourihno ajatua darajani ..nilikuwa mshabiki namba tatu Chelsea kwa hapa bongoNapata Na Wasiwasi Kuhusu Ushabiki Wako!!! Labda Kwanza Tuanzie Hapa: Umependa Chelsea Kuanzia Mwaka Gani??