Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Huyu ni kama SG8 ana moyo wa Liverpool sio kama hawa wapita njia amini usiamini atapata nafasi sababu atacheza kwa kujituma na kwa upendo pia.
Huyu Lovren hata akitangazwa anauzwa hatutopata offer ! .....yaani jamaa kama teja !Tatizo la defense pale LFC ni "individual" na siyo collective..
Lovren ni accident waiting to happen..you cant coach him at all..
Magoal mengi tunayofungwa ni kwasababu ya uzembe wa Lovren/Mignolet..
Lovren cant tackle, cant defend on front foot, shit in the air, cant read defensive lines, panick when under pressure, slow and braindead..only good at marking flat-bully Strikers..
We just needed a good/leader/strong CB to partner Matip..
Now Klopp will need to play a full compact football..meaning will have to play counter attacking football ili kuilinda back line yetu but again tunaweza kustruggle dhidi ya team ambazo zita-sit back na kudefend deep (kama crystal palace)..i know tutashinda kwenye games kubwa kwasababu huwa hazi-sit back na kudefend, huwa Zinacheza open-football kama sisi, ndiyo maana inakuwa rahisi kushinda dhidi ya team kubwa (hata kwenye CL, tutashinda a lot of big games). Lakini kama tukiruhusu team ziingie ndani ya box yetu mara kwa mara then Lovren lazima atafanya makosa..Lovren huwa anasababisha tension kwa wenzake ndani ya box kwasababu zisizo za msingi..
But watu wanakwambia Lovren ameimprove baada ya 2 clean Sheet, he's 28 and been at LFC for 3 years, na bado watu wanaona jamaa kaimprove baada ya 2 clean sheets, wakat walitakiwa kujiuliza ni kwanini kila msimu Lovren huwa anakuwa Villain? Na kwanini uwe na need ya kusema a 28 year-old CB, ambaye amenunuliwa for £25m "anaimprove" baada ya kuwepo LFC for 3 years..
Yah ni kama Theo maana nae ni fan wa redsAu waweza sema ni kama THEO WELCOT ... They are Liverpool Fanboys since childhood.
Hivi huyu Chamberlain ni bora angebaki tu arsenal sasa COU yupo ina maana soon kati ya Can Wildinum au Salah.mmoja wapo atasugua kumpisha Le magician
Sent using Jamii Forums mobile app
Lovren wife tried to leave him for a man who works as a timberman in croatia..without even caring that he pockets 100k per week at LFC
This nigga is clueless and shit even in bed ffs
And y'all think he will lead us to glory lol..










Watu wazito kama wepi mkuu?kiushindi chenu cha arsenal kinawapa kiburi sana. ..ngoja mkutane na watu wazito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeupata karibu tuliendeleze mkuu.
Mmefanya makosa makubwa sana kumzuia Cotinyo kwenda barca...sasa mtaona kitu atafanya uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wazito kama wepi mkuu?
Mwehu huyo, chelsea msimu uliopita tumemfungaLabda Chelsea kwasababu Ndiyo anayoishabikia anahisi kuwa ndiyo timu nzito kwa Liverpool... 😀😀😀
Pia mwakani kuna kombe la dunia. Asipocheza vizuri atakosa nafasi kwa mara nyingine ya kushiriki kwenye kombe la dunia.Yeye ndiye atakaejikanyaga kwa lolote atakalolifanya...
1) Akicheza chini ya Kiwango ataishia benchi na atakosa Soko hilo analoringia kwani Hakuna Barcelona itakayohitaji Flop.
2) Na Akileta Jeuri ajue kama Klopp ni mjeuri kuliko yeye! Atamgeuza Kama Sakho... Atampeleka U23s ambako hataonekana na Mtu yeyote.
NOTE: Njia pekee ya Kuforce move ni Kucheza kwa bidii zaidi ili azidi Kuonekana kwani Barcelona bado ni wadogo kwa Kuforce selling ya Mchezaji!!
ila atakapoonekana na PSG ni lazima atauzwa kwani wao wanaendana na Falsafa ya Kuwa Hela inaongea.. Wanajua Kuforce move kwa kutumia hela na si kutongoza kama Barcelona.