Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi sijawahi kumkubali Lovren.
Hivi pale U20 hakuna dogo wa kumpa challenge tu.
 
Liverpool for title
Easy tu na mapema!
Hata alipo mleta Mane mlilalamika sana hapa na maandishi yenu yapo
Salah tu kuja hapa mliongea sana na maandiko yenu yapo!
Sasa mnamsifia Mane ,mnamsifia Salah
Pia May mtamsifia sana Klopp
Tunawajua!!

Mkuu ukiniletea andiko lolote nililowahi mlaumu mane au Salah sitakuja ilaumu timu yangu kamwe

Mimi siyo shabiki wa lovren, Karius na the capt then klopp now nimemuongeza the magician

Ngoja tusubiri hiyo trophy, ndo kitu pekee we pray day & night not blah blah za our very strong rhythms song we got
 
Coutinho jaribu kumsamehe mkuu maana hata ungekuwa ni wewe hii hali ingekukuta tu.
 
hao hummels subotic aliwatengeneza mwenyewe
subiri"...

usipojua ulipotoka na ulipo hauezi kujua unapoenda...

Mkuu Unaishi Dunia gani?? Unategemea Klopp Kumtengeza Lovren Mchezaji Anaekimbilia umri wa Miaka 29???????????
 
2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
mkuu, bahati mbaya sisi wengine siyo wanazi (fanatics) wa timu bali ni wafuasi (fans).

kwa tofauti hiyo there's no way jambo moja tutakuwa na perspective inayofanana. why? because it's a debate between "reason" vs "no reason"!
 
Sijasema,.. Amtengeneze Lovren chief"...
But Nina Iman kuu na anachokifanya Klopp"...!!!
You got my support
Kuna kipindi sababu ya majeruhi na Mane kuwa Afrika tukawa tuna mtegemea Origi kama striker wetu
Bado team hiyo ikafuzu CL football
Kuna msimu Coutihnio ,Lallana,Mane na Dan wagonjwa
Bado team ikafuzu CL
I salute you Klopp
Mwaka huu EPL ni yetu
 
Hivi huyu Chamberlain ni bora angebaki tu arsenal sasa COU yupo ina maana soon kati ya Can Wildinum au Salah.mmoja wapo atasugua kumpisha Le magician

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coutinho jaribu kumsamehe mkuu maana hata ungekuwa ni wewe hii hali ingekukuta tu.
Maana hata Suarez kipindi kila akitakiwa na asernal alileta TR but ikakataliwa na akacheza kwa kiwango cha juu
Naamini hata COU atabaki vzr tu na atawaua City kama afanyavyo kila akikutana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu Chamberlain ni bora angebaki tu arsenal sasa COU yupo ina maana soon kati ya Can Wildinum au Salah.mmoja wapo atasugua kumpisha Le magician

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Salah hawezi kakaa Benchi Kutokana Na Tactics Za Klopp za Kutengeneza Pace with pressing...

Pale aliyekuwa yupo katika risk ya Kupoteza nafasi atakaporejea Coutinho ni katika ya Gini na Can... Na atakaporejea Lallana ndiyo Dilemma itazidi kuonekana....

By the way! Next season tetugemee muonekano mpya wa Timu yetu..
 
Mkuu naona ushajikatia tamaa mapema msimu huu, Klopp alikosea sana kutotafuta alternative ya VVD hii kitu mimi pia naamini sana itatugharimu tena msimu huu kama msimu uliopita, Ukweli mchungu tujiandae kisaikolojia msimu huu kama tunacheza BIKO kuna kupata na kukosa.
 
Mkuu Salah hawezi kakaa Benchi Kutokana Na Tactics Za Klopp za Kutengeneza Pace with pressing...

Pale aliyekuwa yupo katika risk ya Kupoteza nafasi atakaporejea Coutinho ni katika ya Gini na Can... Na atakaporejea Lallana ndiyo Dilemma itazidi kuonekana....

By the way! Next season tetugemee muonekano mpya wa Timu yetu..
Mambo waliyo Fanya Gigi na Can katika mechi mbili za Hefen na Arsenal si ya kitoto, huyu Cou ajiangilie Mara mbili
 
Screenshot_20170902-144510.png
 
Mambo waliyo Fanya Gigi na Can katika mechi mbili za Hefen na Arsenal si ya kitoto, huyu Cou ajiangilie Mara mbili

Mkuu Little Magician (Cou) hawezi Kuekwa benchi na Mchezaji yeyote ndani ya Liverpool, Uwezo alionao katika Soka ni Mkubwa ukimlinganisha na Gini au Can...

Labda alete jeuri na Kiburi kwa kutokuruhusiwa kuhamia Barca, hapo Klopp atamsahau kama alivyomsahau Sakho...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom