MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
nakumbuka ilikuwa Sunday, one of LFC twitter ITKs (following each other on twitter) DM'd me kuwa Naby will be having Medical on monday, lol was like WTF? coz kama any other LFC fans nilikuwa najua deal ishakufa kabisa kutokana na comments za Ragnick..so nikamwambia "sikuamini" but lets wait and see..Monday mida ya saa sita akani-DM again kuwa Naby was in England. later that day news zikatoka kuwa Naby ni Liverpool player but we'll have to wait for 12 months for his service
nilielewa why Klopp/Edwards wameamua kumsign Keita now kwa kulipa £51m more than his initial RC £48m.. tungemuacha sahiv Bayern wange-activate his RC next season, pia Madrid/Barca lazima wangefanya yao. but ilikuwa ni akili kubwa sana kumsainisha sahiv. he's such a baller.
Naby Keita will single handedly transform our midfield and the entire team to the next level. he's so good man. Leipzig watakuwa wanajilaumu kwa RC ndogo sana waliyomuwekea, £48m. kwa market ya sasa ni kiasi kidogo sana cha pesa kwa aina ya mchezaji kama Naby Deco Keita.
was told kuwa, moja ya sababu kubwa ya kufikia makubaliano na Leipzig, ni kwasababu Red bull (Leipzig/Salzburg owners) wako interested na kusponsor the new main stand. so lets wait and see.
but getting Keita ilikuwa ni hatua kubwa sana kuhusiana na future ya Club kwa ujumla. most important signing since Alonso/Masch.