Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huwezi ku compete kikosi cha Liverpool na Chelsea msimu huu. Ni wazi kabisa kikosi cha Chelsea kimehimarika kila idara kwanzia festi 11 mpka benchi. .

Liverpool ina tatizo kubwa la mabeki hivyo kuwapa kazi kubwa viungo ...mechi nying mmetufunga hasa msimu uliopita kwa msaada wa Cotinyo, na mmeshamzingua tiyari. ..msimu huu ni lazima mkubali kufungwa tu ...hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app

Post yako hii Haijafikia Standard Za Kuweza Kujibiwa na Mshabiki yeyote wa Liverpool... Nakushauri Post kama hizi peleka Kwenye Thread Ya Arsenal ndiyo saizi yake na Sio hapa...
I swear I will Kick Conte's damn ass without Coutinho..
 
Kabla Mourihno ajatua darajani ..nilikuwa mshabiki namba tatu Chelsea kwa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Na Ndiyomaana Ninajiamini Kusema Kabla ya Mwaka 2004 (Kabla ya Kuja Morinho) Chelsea Haikuwa na Mshabiki Wowote Ndani ya Bongo.. Na Ndiyomana Washabiki Wengi Wa Chelsea ni Watu Wasiojua Mpira Kama Wewe! Zile Stats tu Za Timu yako dhidi ya Mpinzani Zinawashindeni...

Na Ukenda Mbali Kidogo Tu Ukwaambia Wale Compulsive Liars Wanaojidai Kuipenda Chelsea Kabla Ya Morinho Wakutajie Vikosi vya Man U na Chelsea ambavyo Chelsea iliidungua Man U goli 5 kwa Bila Mwaka 1999 na ikaamsha Furaha Kwa Sote wapinzani Wa Man U, Basi Munashondwa Kutaja...
 
Kwahiyo wewe umeletwa na abramo hapo darajani? Mimi sio chelsea fan ila nimeijua chelsea kipindi gullit anawalaza wachezaji wenu na vichupi kwenye hostel za mabint kisa wazembe uwanjani
ahahahah umeua baba
 
Na Ndiyomaana Ninajiamini Kusema Kabla ya Mwaka 2004 (Kabla ya Kuja Morinho) Chelsea Haikuwa na Mshabiki Wowote Ndani ya Bongo.. Na Ndiyomana Washabiki Wengi Wa Chelsea ni Watu Wasiojua Mpira Kama Wewe! Zile Stats tu Za Timu yako dhidi ya Mpinzani Zinawashindeni...

Na Ukenda Mbali Kidogo Tu Ukwaambia Wale Compulsive Liars Wanaojidai Kuipenda Chelsea Kabla Ya Morinho Wakutajie Vikosi vya Man U na Chelsea ambavyo Chelsea iliidungua Man U goli 5 kwa Bila Mwaka 1999 na ikaamsha Furaha Kwa Sote wapinzani Wa Man U, Basi Munashondwa Kutaja...
Unaweza kujua zaidi yangu ..lakini haiondoi ukweli kwamba kikosi chenu ni finyu sana ...mbaya zaid mna mashindano mengi ...utakuja niamini pale Hazard, Morata na Willian watakapo zichana nyavu za Anfield.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza kujua zaidi yangu ..lakini haiondoi ukweli kwamba kikosi chenu ni finyu sana ...mbaya zaid mna mashindano mengi ...utakuja niamini pale Hazard, Morata na Willian watakapo zichana nyavu za Anfield.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mbona unaongea sana mpira dk 90 tusubir hiyo SK zikiisha ndio tuongee tatizo la watanzania tunapenda sana kucheza mpira Kwa kutumia mdomo

Katika mashabiki wasiojitambua EPL,mashabiki wa Liverpool mnaongoza,hamna tafauti na mashabiki wa Asernal yaani mmpomupo tu.
 
Huwezi ku compete kikosi cha Liverpool na Chelsea msimu huu. Ni wazi kabisa kikosi cha Chelsea kimehimarika kila idara kwanzia festi 11 mpka benchi. .

Liverpool ina tatizo kubwa la mabeki hivyo kuwapa kazi kubwa viungo ...mechi nying mmetufunga hasa msimu uliopita kwa msaada wa Cotinyo, na mmeshamzingua tiyari. ..msimu huu ni lazima mkubali kufungwa tu ...hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment inaonyesha wewe ni mgeni hapo darajani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom