Totally worst breh!!!Actually so depressed being a LFC fan. Blaming my parent for bringing me up as a LFC fan.. Am stuck with this shit club now ffs
They should have just brought me as a Al-Ain fan only and not pamoja na LFC..
So painful being a LFC fan..
27 years with no PL title..
1 title (mickymouse title) since 2010..
False hopes, lies, let downs, getting sold irrelevant dreams, etc. 7 years under FSG.
Need to stick with only Al-Ain now..untill Klopp and FSG fucks off.
T
Totally worst breh!!!
Nmeshangaa sana kocha hajasajili CB na DM.. na anajiamn kabisa..
Wakimuhitaji na tukikubali anaenda!wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?
We have 2 clean sheets so far!Hakuna ambition..
Klopp is just a yes man..
He prob thinks he can turn Lovren into hummels/Subotic..
Moreno has managed to turn it around because ana kipaji cha mpira alikuwa anahitaji tu proper coaching and man management.
But Lovren hana talent yoyote ile ya mpira, he's just shit na hatakuja kuimprove kabisa..God didnt create him to play football, he's just forcing it man..
Coutihno yupo Brazil na leo kafunga bao saafi dhidi ya EquadorNasikia eti leo saa mbili usiku Coutinho anatambulishwa pale Nou Camp
kAJITAHIDI sana kwa VAN DJIIKT
Totally worst breh!!!
Nmeshangaa sana kocha hajasajili CB na DM.. na anajiamn kabisa..
We have very talented and strong manager!Brace yourselves for another "we tried season"
Iam just refusing to act like a "top red" this season.
Unless we get real ambitious owners and a strong manager i wont be supporting this comedy club
BTW feel so sory for Phill. He's reaching his peak years and FSG just denied him
his dream move. Will have to play with clueless players and under useless manager.
What about Sanchez/Lacazette/Ozil/AGAINST LOVREN?Messi/Dembele/Ronaldo/Asensio/Neymar/Mbappe against Lovren/Klavan/Gomez
vvd angetupeleka level tofaut..hamna cb epl mweny uwezo wa kuplaymake kama vvd. yani kwa uwezo aliokua nao vvd wa kupiga pasi naamin kipind tuna mpira vvd angekua anastep to midfield halaf one of emre or hendo wanamcover maana he is better passer than both of them...Apprently klopp aliona ni beki mmoja tu duniani ndiyo bora kuliko Dejan Lovren na Klavan
kwenye hili naona JK kaamua mwenyewe kusokomeza shingo lake kwenye kichinjio.Actually so depressed being a LFC fan. Blaming my parents for bringing me up as a LFC fan.. Am stuck with this shit club now ffs
They should have just brought me as a Al-Ain fan only and not pamoja na LFC..
So painful being a LFC fan..
27 years with no PL title..
1 title (mickymouse title) since 2010..
False hopes, lies, let downs, getting sold irrelevant dreams, etc. 7 years under FSG.
Need to stick with only Al-Ain now..untill Klopp and FSG fucks off.
Wazee tusiishie tu kulalamika. Sometimes kununua siyo solution. Man city amenunua wachezaji wa bei kubwa ila wanaweza wasimsaidie chochote. Coutinho akibaki msimu huu ni furaha kubwa kuliko tungesajili mchezaji mpya. Na bila msimamo wa klopp coutinho angeshauzwa mapema kabisa. Dirisha hili la usajili lilikuwa gumu sanaa. Kuna team zilikuwa zikimuhitaji mchezaji hazijawahi kumkosaa. Tumeona Manchester city wamemkosa Sanchez, Chelsea pia wamemkosa chamberlain, Barcelona wanaelekea kumkosa coutinho. Kwangu mimi Klopp akimbakisha coutinho msimu huu ni zaidi ya kusajili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuja lini hao Unaowataja?Klopp is among of best coach around the World!
Utampinga bila takwimu
* OX kaikataa Chelsea sababu ya Klopp
* Lamar kaikataa Arsenal sababu ya Klopp
*Van Djiik kakataa kila team ili aje kwa Klopp
* Liverpool sio selling club anymore sababu ya Klopp na Coutihno anabaki
*Keitaa anakuja
Wachezaji wengi wanataka kuja kufundishwa na Klopp lkn hapa anapondwa!Hivi kweli kocha BR hawa akina OX akina Djiik wangeomba kuja?
Tungeweza mbakiza Coutihno kama Barca wana knock?
We have Great coach
Viva Klopp Viva