coutinho has handed in transfer request...................., je itakuwa kama Suarez saga maana Fenway wama-issue statement ya kuwa Coutinho haondoki few minutes later the brazilian hands in transfer request
Kama ataondoka sasa hivi na hakukuwa na dalili za kutafuta attacking midfielder, who would Klopp turn to in such a short period of time as PC replacement? Isco??, messi???( refering to what klopp said in his press conference recently)
Malafyale M-mbabe OSOKONI MosDef sijui hata ndugu yetu huyu yupo wapi, Kidowle
proven No. 10
Ukisikia sucker punch ndo hii tumepigwa na coutinho tena jioni kbisa na giza limeingia in two weeks time ni ngumu kupata replacement yake na ukizingatia ligi inaanza soon na timu nyingi hazitakuwa tayari kuuza star wao bila ya kuwa na uhakika wa replacement.Mkuu mak89…Ni kama wiki mbili hivi zimepita toka niandike maoni yangu kwenye jukwaa letu hili, kuhusu coutihno. Maelezo yangu yalitoa asilimia kubwa kwa phill kuondoka na kama angebaki basi ingekuwa ni well-done kwa timu yetu. Kuna wenzangu hapa walini-quote na kuonyesha kwamba napotoka na kwamba phil haondoki…but as we can see % kubwa inaashiria huenda tusiwe naye kwa msimu ujao ingawa waheshimiwa wamesema hauzwi!
Ishu ya phil iko tofauti kidogo na Lui kwa namna nionavyo mimi…Lui alipozingua kwa mara ya kwanza kutaka kwenda the gunners alitulizwa, na mmoja wa watu walioweza kuongea naye ni steve G. Apart from arsenal kuweza kufikia realese clause iliyokuwepo kwenye mkataba wake lakini owners nao walipigilia msumari wa kukataa kuuza. (It has been said that, steve alimwambia kwamba gunners will be a step down and instead he should give LCF at least one season and if a team like barca have to come then it will makes sense to leave…During summer break I think most of us tulikuwa tayari tumeishajua kwamba Lui hatorudi tena baada ya kilichotokea kwenye world cup. Hii ya phil ni kali! James Pearce baada ya kukataa kwamba hakuna transfer request, later on anatuhabarisha kwamba phili has REQUESTED HIS TRANSFER VIA EMAIL…and HIS IS DOING THIS A DAY BEFORE THE LEAGUE STARTS!!
Sina hakika kama timu ilijiandaa au haikujiandaa kwa tukio hili but what I hope is for the club to spend the transfer money wisely…kupata mchezaji wa level ya coutinho ni lazima nayeye atakuwa around bei hiyohiyo LCF watakayo uza…tumeona Dortmund refused pound 100m kwa Dembele…how about mbappe? I don’t know!!
LCF need to do something now! We sold Lucas and Stewart without any replacement…Lallana is now injured. Tumeshindwa kusajili our two main targets…mpaka sasa hatujui nini kinaendelea kwenye mkataba wa emre…are we gonna failed again on this transfer market?? No, we still have three weeks…WAKE UP WAKE UP!
Wapo wengi sana Milner,Lovren,Moreno,Mignolet,Henderson,OrigiLet cou10 go
We need team players and there are many of them out there
UCL kule mnaenda kuongeza idadi ya timu zinazoshiriki.Mkataba wa Coutihno HAMNA buy out clause
Klopp aliisha ona haya akaondoa hicho kipengele
Coutihno wenye kauli ya mwiho ni Liverpool hasa Klopp
Hawezi kuuzwa na wenye team wakilazimisha tujiandae kumpoteza Klopp
Kumbuka aliondoka BVB kwa sababu ya kutoelewana na watawala kuhusu kuuza uza!
Coutihno hana kisingizio cha kuondoka sababu hata sisi tunacheza champion league
Kwakweli hakuna namna KOTINYO NI LAZIMA ASEPE TU.Pia usisahau kuwa "MKATABA UNAONGEA" Kinachotufanya tujiamini Kubakia Kwa Coutinho ni Mkataba wake Hauna kifungu cha RELEASE CLAUSE.....
Hayo ni maboya type ya Smalling, felaini, Valencia, blind etcWapo wengi sana Milner,Lovren,Moreno,Mignolet,Henderson,Origi
Anaikomesha kwa makombe sio kwa nafasi ya nne......Hii tabia klopp aikomeshe,Liverpool sio arsenal na iwe fundisho
Acha aende zake maana hakuna la maana tunalofanya kuchukua vikombe...conte kaja akachukua,msimu ni wa pep au mou..sisi ngoja klopp wetu aijenge liver kama BVB baada ya miaka mitano wakina solonke,woodburn, ojo,ejaria,watakua washakua world class players tutachukua ubingwa..