Ligi inazid kuwa ngumu kukicha,timu zinazotaka ubingwa zinaongezeka kila msimu, lakini livepool yetu ni ileile na ndoto zilezile..Acha coutinho aende zake akachukue makombe situbaki na sifa yetu ya roho ngumu ya ushabiki na tubaki na day dreaming za ubingwa..f...ck
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana, Liverpool is just an academyWakishakuwa tu world class players watalazimha kuondoka as usualAcha aende zake maana hakuna la maana tunalofanya kuchukua vikombe...conte kaja akachukua,msimu ni wa pep au mou..sisi ngoja klopp wetu aijenge liver kama BVB baada ya miaka mitano wakina solonke,woodburn, ojo,ejaria,watakua washakua world class players tutachukua ubingwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemisi zile utabiri zako.....!!!Ule moto wa pre season siuoni kabisa hapa aisee!
What is this?