
Kwanini Watford iwe ya 3?Watford Dakika ya 89' nafasi ya 20
Watford Dakika ya 90+5':nafasi 3
Football thing..![]()
Klop ana bifu la kike,
Klop anabifu kama mwanamkeTUNAFUNGA bao 3 hii ina maana foward haina shida!
Beki ama Klopp amsamehe Sakho au amlete VDJ
Team yetu nzuri sana tatizo mtu wa kucheza na Matip hayupo!
Moreno kabadirika sana
Hawajui ligi hii haina mkubwa wala mdogo, experience tu ndio inazipa timu kubwa ushindi.Jana arsenal walionekana wajinga leo kimewakumba nyie
Sawa Mwana CHELSEAPoleni Liverpool kwa kudondosha point 2 kwenye msimu huu mgumu
Sent from Man Utd fans
Matic, Matta, Mouhrinho hahahaaaa we jamaa weweeSawa Mwana CHELSEA
huyu dogo jana alikamua vizuri sanaTUNAFUNGA bao 3 hii ina maana foward haina shida!
Beki ama Klopp amsamehe Sakho au amlete VDJ
Team yetu nzuri sana tatizo mtu wa kucheza na Matip hayupo!
Moreno kabadirika sana