koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Southamptom wameanza kumtafuta CB mwingine ukiona hivyo ujue VD tunamchukua
CB= Centre BackMbona mi sielewi CB na VD ndio nini?
VD= Van Dijk
Southamptom wameanza kumtafuta CB mwingine ukiona hivyo ujue VD tunamchukua
CB= Centre BackMbona mi sielewi CB na VD ndio nini?
Haaa....haaa...haaa ! Coutinho asipoondoka watamgonga na gari !Huyu continho anawanyima kweli usingizi mnatamani hata afe au aondoke na msimu huu anawanyoa
....lovren wamgawe bure tu, jamaa kama teja aiseeh !Southampton wanasemaje kuhusu hili suala maana mimi nishachanganyikiwa pale kati sina imani na Lovren.
We si mwenzetu !Mbona mi sielewi CB na VD ndio nini?
Kweli aisee jamaa anazingua....lovren wamgawe bure tu, jamaa kama teja aiseeh !
Na wewe unaenda wapi tukusindikize?Nasikia coutinho anauzwa
Kwa mtindo huu mtabaki kusindikiza tu
Usihadalike na Rumours Mkuu! Coutinho ni "NOT FOR SALE" na wala FSG hawajaridhia Cout Kuondoka...
Wale Waliodai kuwa Liverpool Wamekubali Kumuuza Cout kwa £90m ni Wadaku tu...
Hizi ni habari nzuri kwanguUsihadalike na Rumours Mkuu! Coutinho ni "NOT FOR SALE" na wala FSG hawajaridhia Cout Kuondoka...
Wale Waliodai kuwa Liverpool Wamekubali Kumuuza Cout kwa £90m ni Wadaku tu...
Tulia mkuu habari ya hivi punde ni kua...