SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Karibu ndoa ya kudumu
Nakumbuka Kaka....
Leo hawa jamaa watapata shida
Ila ndo bingwa wenu...khe khe khe khe kheeeeeeHuyo bingwa wenu kashindwa kutufunga mamaeee ynwa
Game 4 bila ushindi na unashangilia drawHuyo bingwa wenu kashindwa kutufunga mamaeee ynwa

Duh we jamaa unanikera kwa comfidence ulionayo, hivi utamfunga chelsea kwa timu ipi? Subiri tuone, ila siku zote huwa nakuambia jaribu kueka akiba ya maneno japo mawili
Huyo jamaa niliamua tu kumpotezea hiyo post yake lkn cha moto atakiona j4... Maana pamoja na yeye kufungwa hovyo tunakwenda kwake tukiwa na tahadhari kubwa maana tunawajua tabia zao vzr wana roho ya paka...
And next week is gonna be much happy with 13![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Are you ?? 4 matches 0 WinAre You Happy for draw?
what about u?Are You Happy for draw?
Are you ?? 4 matches 0 Win
Umeponea chupuchupu weye mdengereko wa ikwiririIt doesnt matter
Lkn Chelsea hawawezi tufunga hata tuchezee Kirumba