Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ingawa Katika Mchezo Wa Jana Liverpool vs Chelsea Teonesha Kuboreka! Lakini Bado Sio Kigezo Cha Kusema Timu imeshakaa Sawa na Performance imeshakuwa Nzuri....
Hile ilikuwa Ni Big Match! Na Kawaida Liverpool anapocheza Big Match Huwa Unpredictable......

So, Wacha Tuone Next tutapopiga Na Hull City kama timu imeboreka performance au bado!!!
 
Endeleeni kuboreka wakuu wengne tunanataka ubingwa. Mtaboreka tu msijali.
 
Katika Mwezi Wa January Tumecheza Michezo 9, No othern EPL team played more than Liverpool.....
January Was our tough and miserable mouth.......

Lakini Mwezi Huu wa February Tuna Michezo 3 tu ambayo itasaidia Kwa Kiasi Kikubwa Kujenga Fitness Za Wachezaji....

The Most Advantage for us ni Kumaliziana Mapema Na Timu Kubwa!! Wanaotucheka Watakujaona Hapo Baadae Wakianza Kukutana Wao Kwa Wao.... Let us see a good example at the meeting between Chelsea vs Arsenal.......
 
b2fe2e8256f1475336bb28319b03798b.jpg
5b5d051dd3a89d55c1963226c9e4f837.jpg

Loosefool
 
Roberto Firmino's drink-drive verdict

Fined £20,000
Banned from driving for up to 12 months

But the Brazilian is still in contention for the Reds on Saturday.
 
Kuna kitu nilikua nakichunguza.. Namna Chelsea wanavyokuwa exposed sisemi ndo njia pekee, hapana! Lakini imeruhusu goli kama 3 so far.

Jaribu kuangalia magoli aliyoruhusu Chelsea against spurs pale white Hart lane. Zilikuwa ni krosi zilizopigwa na eriksen eneo ambalo hendo Jana alipiga mpira ule kwa milner akatia kati Gini akatupia. Na kama unakumbuka kuna mipira kama mitatu alipiga hendo pia ya style ile speed ya mlengwa haikuwa nzuri kuifikia lakini ilionesha kama ingewahiwa basi inaleta matumaini zaidi.

Utofauti uliokuwepo spurs walipiga direct kwa scorer, ila tulichokuwa tunafanya sisi ni switching sides ya mipira kwa krosi tokea eneo ambalo spurs walishamu-expose Chelsea then tunacheza 2nd balls maana attention ya defenders inakuwa disturbed so umakini unapotea, tena kwa team kama Chelsea wakikaa nyuma inakuwa ngumu bila mipira ya krosi.

Kilichonifanya niamini inaweza kuwa ni weakness yao toka game ya spurs waliruhusu goli moja tu nadhani FA ilikuwa na timu ndogo zinapata shida sana kuandaa nafasi lakini Jana karibia kila mpira wa krosi wa nature ile ingetupatia bao. Chelsea walionesha weakness kidogo kwenye marking labda na attention
 
Team ambayo ina the most expensive player in the World, a 300k p/w striker, player ambaye alikuwa voted kama Bundesliga best player katika msimu wake wa mwisho...and the best manager in the world (LOL)..

Inapigania nafasi ya 6 na Everton/southampton, and cant even win against Hull City at home. But mashabiki wake wanakuwa na Audacity ya kuimock LFC ikipoteza games. Hahahaha

Such a deluded fanbase on this platform..
 
Roberto Firmino's drink-drive verdict

Fined £20,000
Banned from driving for up to 12 months

But the Brazilian is still in contention for the Reds on Saturday.

he needs a rest though..

niliona Klopp anasema, analazimika kumchezesha Bobby kila games kwasababu hakuna mchezaji mwingine mwenye qualities kama za Bobby pale mbele.

sasa kama anajua hilo kwanini asinunue players wa kucover hilo eneo? Coz its clear jamaa hawakubali Sturridge na Origi..

Firmino kachoka sana, nadhan ndo mchezaji aliyecheza minutes nyingi this season kuliko mchezaji yoyote. But anahitaji kupumzika. Hope february atapata rest ya kutosha. Tuna games 3 tu february? au nipo wrong?..
 
Yesssssss! Finally Huu Mzimu Wa Sakho Umesepa.....

Liverpool's out-of-favour defender Mamadou Sakho has agreed to move to Crystal Palace on loan for the rest of the season.

Summer tunahitaji..

New CB
New LB
New CM
New Winger
New Striker.
 
Team ambayo ina the most expensive player in the World, a 300k p/w striker, player ambaye alikuwa voted kama Bundesliga best player katika msimu wake wa mwisho...and the best manager in the world (LOL)..

Inapigania nafasi ya 6 na Everton/southampton, and cant even win against Hull City at home. But mashabiki wake wanakuwa na Audacity ya kuimock LFC ikipoteza games. Hahahaha

Such a deluded fanbase on this platform..
He he he he he, leo kimyaaa hakuna anaepiga vuvuzela hapa
 
he needs a rest though..

niliona Klopp anasema, analazimika kumchezesha Bobby kila games kwasababu hakuna mchezaji mwingine mwenye qualities kama za Bobby pale mbele.

sasa kama anajua hilo kwanini asinunue players wa kucover hilo eneo? Coz its clear jamaa hawakubali Sturridge na Origi..

Firmino kachoka sana, nadhan ndo mchezaji aliyecheza minutes nyingi this season kuliko mchezaji yoyote. But anahitaji kupumzika. Hope february atapata rest ya kutosha. Tuna games 3 tu february? au nipo wrong?..

Hachelewi kuja kusema 'I wait our striker (Ings) to come back strong'

Bobby kwa kweli akae bench arudishe confidence kwanza maana kwa ile performance ya juzi na hukumu baada ya kesi yake nimeona watu wengi wamemshambulia he need a rest.

Yaah February na March tuna jumla ya games 6, 3 kwa kila mwezi tukitumia vizuri huu mwanya we can do something better
 
hahahahaha. Ings anahitaji a loan move.

sidhani kama atarudi na kuanza kufire moja kwa moja. Itamchukua muda sana.

Bobby anahitaji sana kupumzika. Sana Aisee.
 
Team ambayo ina the most expensive player in the World, a 300k p/w striker, player ambaye alikuwa voted kama Bundesliga best player katika msimu wake wa mwisho...and the best manager in the world (LOL)..

Inapigania nafasi ya 6 na Everton/southampton, and cant even win against Hull City at home. But mashabiki wake wanakuwa na Audacity ya kuimock LFC ikipoteza games. Hahahaha

Such a deluded fanbase on this platform..
Hahaaa, umeona domokaya wao anavyowashwawashwa na Liver?!
 
Klopp on Sakho: "This is not the place for me to give advice to Mama. Who knows what will change in 5 months, he still has contract at LFC."
 
Ian Ayre is set to leave Liverpool FC at the end of February following a successful 10- year tenure at the club.

In March 2016, Ayre announced his plans to leave LFC and he has since played a pivotal role in completing a 10-month transition plan to put a robust structure and operating framework in place that will ensure continued stability across the club and pave the way for the new CEO, who is expected to join in the summer.
 
Huyu ndie mshenzi wa kwanza anaetakiwa kusepa pale anfield wakifwatiwa na FSG
 
Aende tu, hawa FSG naona kama bado wapo sana kuna makala nilisoma wachina walitangaza dau lao la kuchukua club naona jamaa wakachomoa nadhani waliona dau walotoa wachina dogo kuliko evaluation, je akija mtu mwenye dau linalo meet evaluation yao waloitaja wataachia club?
 
Huyu ndie mshenzi wa kwanza anaetakiwa kusepa pale anfield wakifwatiwa na FSG

Pia Tusisahau Kua Huyu Ndiye CEO aliyekataa Ofa Za Mabilionea Wa Asia (Waarabu & Wachina) Hatimae Akawaleta FSG walioeka Maslahi Yao Ya Kibiashara Mbele bila Ya Kuangalia Maslahi Ya Timu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom