Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Leo zinapunguzwa point 3,zinabaki pointi 7,jpili arsenal anapunguza tena 3,zinabaki 4.he he hee
Kaka yaani ndivyo unavyotaka, lakini uhalisia sio huo kabisa, leo mnachezea sio chini ya mbili, mjiandae msimu ujao
