Umeponea chupuchupu weye mdengereko wa ikwiriri
Stats zinaonyesha mnaongoza kwa possession tu.Wacha Maneno Weka Stats Za Mchezo ili Tujue Nani Alikuwa Katika Risk Ya Kupoteza Mchezo.....
Mm nimetengenza nafasi nzuri nyingi sana zaidi yakoUmeponea chupuchupu weye mdengereko wa ikwiriri
Hukuona ya Pedro, Moses na Costa penati???Mm nimetengenza nafasi nzuri nyingi sana zaidi yako
Dakika ya 48 na dakika ya 90 Firmo KAKOSA MABAO YA WAZI KABISA
Stats zinaonyesha mnaongoza kwa possession tu.
Na faul nyingi na kadi za njano mnaongoza lkn vitu vingine tumewapiga chini hasa kupiga mashuti golini.
Hiyo Risk wewe ndio uliyokua nayo wala sio sisi.
ya Wijl dakika ya 17 hukuiona?Hukuona ya Pedro, Moses na Costa penati???
Unabahati sn wewe
As if msipofungwa na Chelsea mtapewa kombe mwisho wa msimu..It doesnt matter
Lkn Chelsea hawawezi tufunga hata tuchezee Kirumba
Their face right now ... walidhani watashinda mbele ya watford
MzimuYesssssss! Finally Huu Mzimu Wa Sakho Umesepa.....
Liverpool's out-of-favour defender Mamadou Sakho has agreed to move to Crystal Palace on loan for the rest of the season.
, vp kawafungisha sana msimu huu ?