Mimi Sikuwa na Sifa Ya Kuongelea Mchezaji Mmoja Mmoja Kuwa Tunafungwa Kwasababu Hayupo Fulani!! Mimi Kawaida Yangu Huongelea Performance Ya Timu Nzima...
Na Fikra Hizo Nilizipinga Kwa Wale WalioClaim Kuwa Hatushindi Kwa Sababu Hayumo Hendo, Na Hatushindi Kwa Sababu Hayupo Mane...
Hata Mane Arudi Leo Kwa Timu Hile Tutaambulia Sare au Kipigo...
By The Way! Kuharibu Kote Huku Kwa Vibonde Usidhani Kuwa Tarehe 31 Chelsea atatufunga... Sahau Hilo...
Mimi Ninauhakika Kuwa Tutamfunga Chelsea Kiulaini Kabisa! Ila Siizungumzii Habari Ya Mechi Hii Kwasababu Kumfunga Chelsea Halafu Nikafungwa na STOKE CITY ni Meaningless.....
"MIMI NINA MY TRUST KWA KLOPP"