chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
labda chese ya kwenye pichaJust Wait And See.....!
labda chese ya kwenye pichaJust Wait And See.....!
Wish grantedHapa dawa senegali kufungwa tu japo naipenda
Nimekununia!! Yaani Mane Ameniliza na mimi yaani nimejikuta machozi,makamasi yakinitokaHapa dawa senegali kufungwa tu japo naipenda
...... hongera kwa kufanikiwa kumrudisha.Dahhh!! Jamaa kaniliza sana,namtakia recovery njema ila akirudi huku simpendi tenaNîlitamani Mane arudi E.P.L ila sio kwa staili hii, hopeful ataacha kila kitu AFCON arudi EPL akiwa na confidence yake

Yaani huyu kaweka uJOGOO wake mbele ya uAFRIKA wakeNimekununia!! Yaani Mane Ameniliza na mimi yaani nimejikuta machozi,makamasi yakinitoka![]()
![]()
...... hongera kwa kufanikiwa kumrudisha.
No way out, jahazi linazama mkuu, naipenda Senegal , nisamehe bure, Liverpool kwanza Senegal baadaeNimekununia!! Yaani Mane Ameniliza na mimi yaani nimejikuta machozi,makamasi yakinitoka![]()
![]()
...... hongera kwa kufanikiwa kumrudisha.
Dahhhhh!!! Basi tu tumsamehe ndizo errors zenyewe za michezo,haya Jumanne wako huyo je utamfundisha adabu kwamba bora angebaki AFCON au ndo atakulipizia kisasi chake cha kutolewa AFCON?.......mimi nitakuwa na kawimbo kangu fulani hivi naimba wacha wauwaneeee eeeeee wacha wauwaneee!!Yaani huyu kaweka uJOGOO wake mbele ya uAFRIKA wake

Unakumbuka A.Gyan baada ya ile penati ya WC, alikuwa anakimbia spotlight maisha yake yote..Mr.Liverpool aliwaze hilo kabla ya yoteDahhh!! Jamaa kaniliza sana,namtakia recovery njema ila akirudi huku simpendi tena![]()
![]()
![]()
![]()
Chelsea akitufunga nipigwe ban ya wikiDahhhhh!!! Basi tu tumsamehe ndizo errors zenyewe za michezo,haya Jumanne wako huyo je utamfundisha adabu kwamba bora angebaki AFCON au ndo atakulipizia kisasi chake cha kutolewa AFCON?.......mimi nitakuwa na kawimbo kangu fulani hivi naimba wacha wauwaneeee eeeeee wacha wauwaneee!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hah , wewe hata watu wakiuana uko pale pale kwenye ka nafasi kako pendwa, labda ufunguke tu kwenye maombi yako, nani afe ?Dahhhhh!!! Basi tu tumsamehe ndizo errors zenyewe za michezo,haya Jumanne wako huyo je utamfundisha adabu kwamba bora angebaki AFCON au ndo atakulipizia kisasi chake cha kutolewa AFCON?.......mimi nitakuwa na kawimbo kangu fulani hivi naimba wacha wauwaneeee eeeeee wacha wauwaneee!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbeee!! Sikumsoma kabisa nikawa najiuliza huyu ana maana gani? Mfyuuuuuu zake!!!Unakumbuka A.Gyan baada ya ile penati ya WC, alikuwa anakimbia spotlight waisha yake yote..Mr.Liverpool aliwaze hilo kabla ya yote
Hahahaha Post saved for future used.Chelsea akitufunga nipigwe ban ya wiki
Ukisahau nitakushtuaHahahaha Post saved for future used.
Hahaha mmeanza kelele zenu!! ila zina baraka kwangu sana,mnakumbuka mlivyonipigia kelele juu ya kufunga na draw mkanipiga vita weeee basi nikaanza nami kufunga,sasahivi naamini nitatoka soon kwenye hako kanafasi, naona soon kuna mtu atanipisha pale.Hah , wewe hata watu wakiuana uko pale pale kwenye ka nafasi kako pendwa, labda ufunguke tu kwenye maombi yako, nani afe ?
Wacha weeee!!! Baada ya Mane kurudi siyo?......haya yangu macho na masikio!!!