Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Since Steven Gerrard returned to Liverpool

- Liverpool 2-3 Swansea
- Liverpool 0-1 Southampton
- Liverpool 1-2 Wolves
 
Liverpool Tumepoteza 3 consecutive home games across all competitions Kwa Mara Ya Kwanza Tokea October 2012.

Really really poor.

16388043_1836237216632177_5307796421306966169_n.jpg
 
Now kila timu inaombea ikutane na Liverpool Anfield
 
Yaliyojiri Ndani Ya JANUARY ni Liverpool Kutolewa Kwenye ↓↓:

1) The league title race

2) League cup

3) FA Cup

Bunch of let downs. Everything is so central, it makes me think if Klopp even tells them how to play, looks like we don't have any tactics at all. You'd think when we haven't been able to break teams down that Klopp would come up with a way to break them down, but game after game it's the same thing.....

Nilichokigundua Kikubwa Ni Kwamba Timu Zote Zimegundua Kuwa Kuizuia Liverpool Ni Kupaki Basi tu halafu Ukavizia Kaunta.....
Hapo Liver Hua Haina Ujanja tena Na Ndiyomaana Timu Zote Sasahivi Zinapocheza na Liverpool Zinatumia Mbinu Moja tu Ya Kudefendi Na Kutuacha Tucheze Mpira Tukaishi na Ball Possession 84% lakini Tunafungwa....

Hapa Ndiyo Umuhimu Wa Kuwa na REAL STRIKER ndiyo unapoonekana na sio FALSE STRIKER....

Please Klopp Sign Striker....
 
The fans are losing faith and anfield has turned from a fortress to a laughing stock in the space of a month.

Be Patient! Hang on! Do Not Tired YNWA
 
We were blessed with 4 home games in a row and we've lost the first 3. This team is facing a real crisis now.......
 
Liverpool's last 3 games at Anfield:

Liverpool 2-3 Swansea
Liverpool 0-1 Southampton
Liverpool 1-2 Wolves

Next 3:
Chelsea
Spurs
Arsenal

Yaliyojiri Ndani Ya JANUARY ni Liverpool Kutolewa Kwenye ↓↓:

1) The league title race

2) League cup

3) FA Cup

Bunch of let downs. Everything is so central, it makes me think if Klopp even tells them how to play, looks like we don't have any tactics at all. You'd think when we haven't been able to break teams down that Klopp would come up with a way to break them down, but game after game it's the same thing.....

Nilichokigundua Kikubwa Ni Kwamba Timu Zote Zimegundua Kuwa Kuizuia Liverpool Ni Kupaki Basi tu halafu Ukavizia Kaunta.....
Hapo Liver Hua Haina Ujanja tena Na Ndiyomaana Timu Zote Sasahivi Zinapocheza na Liverpool Zinatumia Mbinu Moja tu Ya Kudefendi Na Kutuacha Tucheze Mpira Tukaishi na Ball Possession 84% lakini Tunafungwa....

Hapa Ndiyo Umuhimu Wa Kuwa na REAL STRIKER ndiyo unapoonekana na sio FALSE STRIKER....

Please Klopp Sign Striker....
Naona tayari mmeshachanganyikiwa, hakuna timu iliyopaki bus,timu yenu kwa sasa ni mbovu lazima mkubali.Kuanzia wachezaji ,kocha hadi mashabiki wamepoteza confidence Klopp kwenye tactics hana tofauti na Rodgers
 
Sdieways and Back! Sideways and Back! Sideways and Back! No invention, no commitment and certainly no pride in the shirt they're wearing, they should be docked a months wages until they buck their idea's up, can't always blame the manager the players are the one's on the pitch and they ultimately determine the outcome of games, would love to see them playing with some effort.
 
Poleni majogooo. Mbona hamuwiki tena........!!!!. Mane Mane Mane Mane please come back to anfield.......we have already lost 3 times and Next week chelsea are coming to visit us....please Mane we need your help.....!!!
 
Naona tayari mmeshachanganyikiwa, hakuna timu iliyopaki bus,timu yenu kwa sasa ni mbovu lazima mkubali.Kuanzia wachezaji ,kocha hadi mashabiki wamepoteza confidence Klopp kwenye tactics hana tofauti na Rodgers

Sijui Umeongelea Kimpira au umeongelea Kiushabiki!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom