Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo Tee Bag kaliwa hapo hapo kwake mfulilizo na vi timu vya ajabu ajabu tu....... Seuze aje alete ngebe kwa chelsea??

Alafu ukuje tulale huko nachikia baridi [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Hahahha najaaaa yaani nimeshangaa naona malike tu yanadisplay kwa simu kumbe na wewe umetoka kitandanii? Haya najaaaaa!!!
 
Chelsea hawezi msumbua Liverpool bila hata Money-Mane! Team iliyo tolewa leo na Wolves atakaye anza Jumanne ni mmoja tu
Wewe diwani acha kuota km uko Ktk kampeni za uchaguzi ukinadi sera.... Huyo Mane ndio nani vile??

Umepigwa na michekea mingi tu hapo kwako sasa subiri uone tunavyo kuja kukunyonga hapo hapo
 
Hahahha najaaaa yaani nimeshangaa naona malike tu yanadisplay kwa simu kumbe na wewe umetoka kitandanii? Haya najaaaaa!!!
Nilikua namuangalia flopy Mane..... So nikaona nipite kijiweni tupige story kidogo....

Uko pouwa lkn???
 
Nilikua namuangalia flopy Mane..... So nikaona nipite kijiweni tupige story kidogo....

Uko pouwa lkn???
Hahahhaha kwakweli hata mimi namuita jwa sasa Flopy Mane hahahaha.....

Niko poa mupenzi yangu hofu kwako.
 
Hahahhaha kwakweli hata mimi namuita jwa sasa Flopy Mane hahahaha.....

Niko poa mupenzi yangu hofu kwako.
Yule ni flopy tu....

Mi niko pouwa kabisa nasuburi jumanne kwa hamu tuwafunge midomo hawa mitetea....
 
Wenzano wote wanajua huwezi pata hata sare Anfield ndiyo maana wanakuacha pekee yako!
Siku zote ukiona nimeweka kambi Ktk uzi wenu jua umeumia...

Fatilia tangu niko humu, huumiii kila game?? Na bado nakuja kukuchapa hapo hapo ubaki na wachezaji wako wazito miguu km wamebeba mawe muguuni.... Eti Mane, who is Mane?? Huyu Mane aliekosa penati kabaki yeye na kipa???
 
Wewe diwani acha kuota km uko Ktk kampeni za uchaguzi ukinadi sera.... Huyo Mane ndio nani vile??

Umepigwa na michekea mingi tu hapo kwako sasa subiri uone tunavyo kuja kukunyonga hapo hapo
Wenzano wote wanajua huwezi pata hata sare Anfield ndiyo maana wanakuacha pekee yako!
Mimi nakuaminia Malafyale. Hizi wiki zilizopita mvua ilileta mafuriko lakini wiki ya kesho imetabiriwa jua kali, mbawa za majogoo zitakaushwa na wataweza kutembea na kulikanyaga daraja kwa madoido, mbwembwe na madaha.
Liverpool anaweza kuwashangaza watu kwa kutwaa ndoo! Ubingwa wa EPL? LoL
 
Huyo Tee Bag kaliwa hapo hapo kwake mfulilizo na vi timu vya ajabu ajabu tu....... Seuze aje alete ngebe kwa chelsea??

Alafu ukuje tulale huko nachikia baridi [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Mkuu kumbuka klop anasumbuliwa na underdog tu, rejea game zote alizofungwa, Chelsea bila mane ni mwepesi sana kwa liver
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom