Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

You are all welcome at Old Trafford today's evening.... Ni kichapo tu ...

Come on Lads .. GGMU
 
image-2017-01-15-07-56-28.jpg
image-2017-01-15-07-59-05.jpg
image-2017-01-14-19-44-46.jpg
 
Baba yake Marcus alikuwa na miaka 18 alipompata!!! Dah! Maisha haya!! Unakuta jamaa alikuwa hana mbele wala nyuma kipindi anampata dogo. Sasa he is laughing straight to the bank.

On a serious note, vijana wengi inabidi tujifunze kwa hili. Kuna cases nyingi sana nimekutana nazo siku za hivi karibuni za vijana kuwapa mabinti mimba kisha kuwatelekeza kwa visingizio vya sijajipanga.

Wale madogo wa Kenya waliimba...Kila mtoto anakuja na bahati yake. Usimtelekeze mtoto ilhali tunda ulikula mwenyewe kwa hiari yako bila kushurutishwa.

Inauma sana aisee...
 
Liverpool 18 League titles..........Chelsea 5 League titles.........Hivi huoni aibu kuleta habari kama hii kwenye jukwaa la Liver?

So what!???

5 titles..

6th loading...

..and counting!

Nyie/wao ndo wame-stagnate hapo....
 
So what!???

5 titles..

6th loading...

..and counting!

Nyie/wao ndo wame-stagnate hapo....
Mentor bana muda mwingine. Kwahyo kabisa unaketi chini na kuamini Chelsea watakujaga kuwa na idadi ya makombe (tena yoyote) sawa na Liverpool? Dah!aisee. Kweli ndo mana wakina mzee wa upako wana waumini.
Chelsea haijafikisha hata theluthi moja ya makombe ya Liverpool halafu mashabiki wa Chelsea kwa uso mkavu kabisa bila aibu wanakuja kushindana na Liverpool.........Tofauti ni makombe 13,....achana na ya UEFA.
 
Hii sijui inafaa humu...

15977808_1522262161147115_8489466779084098368_n.jpg

Hapa Ndiyo Ninazidi Kujiridhisha Na Hile Kauli Yangu Kuwa Kabla Ya Mwaka 2005 (Kuja Mourinho) Chelsea Haikuwa Na Washabiki.. Na Ndiyomaana Mashabiki Wa Chelsea Wote Hawaijui Historia Ya Timu Yao ikoje...!!
Washabiki Wote Wa Chelsea Wanatokea eitha Man U, Arsenal au Liverpool, Walizihama Timu Hizo Na Kuhamia Chelsea Mwaka 2005 Kumfata Mourinho, Na ndomana Mpaka Leo Utawakuta Wale Mashabiki Wa Chelsea Kindaki Ndaki Kuwa ni Lazima Watakuwa na Mapenzi Ya Ndani Ya Timu Zao Za Zamani na Baada Ya Mourinho KuwaAdapt Kuichukia Liverpool, Basi Mapenzi Yao. Yapo Aidha Kwa Arsenal au Man U...

Naamini Hiyo Picha uliyoipost Hapa inawakilisha Mapenzi Yako Ya Timu Yako Ya Zamani Moja Katika Ya Hizo Mbili hapo..
Labda Nikuulize Unaipenda ipi hapo, Arsenal? Man U?

By the way! Mimi Natimiza Mwaka Wa 27 bila ya Premier League Tittle.....
Hivi Hujui Kuwa Kabla Ya Mwaka 2005 Mourinho Kuwaonesha Mwanga, Chelsea ilikaa Miaka 50 kamili Bila ya Premier League Titlle??
Amakweli Nyie Mou-Fanboys Hamujui Chochote Kuhusu Historia Ye Timu Yenu Muliyodandia Ukubwani....
 
Hapa Ndiyo Ninazidi Kujirisha Na Hile Kauli Yangu Kuwa Kabla Ya Mwaka 2005 (Kuja Mourinho) Chelsea Haikuwa Na Washabiki.. Na Ndiyomaana Mashabiki Wa Chelsea Wote Hawaijui Historia Ya Timu Yao ikoje...!!
Washabiki Wote Wa Chelsea Wanatokea eitha Man U, Arsenal au Liverpool, Walizihama Timu Hizo Na Kuhamia Chelsea Mwaka 2005 Kumfata Mourinho, Na ndomana Mpaka Leo Utawakuta Wale Mashabiki Wa Chelsea Kindaki Ndaki Kuwa ni Lazima Watakuwa na Mapenzi Ya Ndani Ya Timu Zao Za Zamani na Baada Ya Mourinho KuwaAdapt Kuichukia Liverpool, Basi Mapenzi Yao. Yapo Aidha Kwa Arsenal au Man U...

Naamini Hiyo Picha uliyoipost Hapa inawakilisha Mapenzi Yako Ya Timu Yako Ya Zamani Moja Katika Ya Hizo Mbili hapo..
Labda Nikuulize Unaipenda ipi hapo, Arsenal? Man U?

By the way! Mimi Natimiza Mwaka Wa 27 bila ya Premier League Tittle.....
Hivi Hujui Kuwa Kabla Ya Mwaka 2005 Mourinho Kuwaonesha Mwanga, Chelsea ilikaa Miaka 50 kamili Bila ya Premier League Titlle??
Amakweli Nyie Mou-Fanboys Hamujui Chochote Kuhusu Historia Ye Timu Yenu Muliyodandia Ukubwani....
Mic drop
 
Hahahaha napenda sana Liver mnavyojua kukimbilia cocoon ya history mnapobanwa.

Sijawahi kushabikia man utd wala arsenal. Wakati niko sekondari nilikuwa shabiki wa inter milan (nilikuwa na jezi ya pirelli na nilipopata fahamu ya mpira wa nje na kugundua ni ya intermilan nilianza kuifuatilia na kuishabikia).

Vivyo hivyo nikiwa kidato cha nne 2003 nilipewa ofa ya kuchagua jezi ya kununuliwa. Kipindi hicho chelsea ilikuwa na wachezaji weusi wengi (Babayaro being one of them). Na nilichagua ya Chelsea (sababu nyingine ni kuwa i love the color blue). Tangu kipindi hicho nikawa official shabiki wa Chelsea hadi leo.

Kila mtu ana kilichomsababisha akashabikia timu anayoshabikia. Msipende kulazimishia watu kwa kukosa point ya kuongea.

Safari yetu ya miaka 50 ilianza na mwaka mmoja...10..20..27..50.

Uzuri maisha tunaishi kwa kwenda mbele. Tuombe uzima...miaka mingine 23 tuone mtaongea nini.

Ila kwa kuwa mimi si mpenzi wa historia zenu...naenda one season at a time...2016/2017 ndo tunayoongelea sasa.

Wacha nilale...na mkishindwa kumfunga Mourinho lazima mnipe ban walai....nitakesha hapa na kibwebwe!!!
 
Mpwa 2003 uko kidato, kumbe bado mdogo kwangu? Mimi nilianza kushabikia Liverpool juzi tu hapa kipindi cha Alhaji diof
 
Liverpool 18 League titles..........Chelsea 5 League titles.........Hivi huoni aibu kuleta habari kama hii kwenye jukwaa la Liver?
Kipindi hicho liver anashinda ligi wew ulikuwa na miaka mingapi vile....we are in 2017. So tuongelee current
 
Hii sijui inafaa humu...

15977808_1522262161147115_8489466779084098368_n.jpg
Kuna watu wanatia huruma sana! Huyu huyu aliyeweka historia za watu humu, akijibiwa analalamika kuwa watu wanakimbilia kwenye historia!
Ajabu na yeye anapojitetea tena anaelezea historia yake akiwa primary na O level huko!
Hivi mnataka watu wote tuwe watabiri?!
Unawezaje kuongelea timu bila kutaja mafanikio au mapungufu yake ambayo yote hayo ni historia tayari? Maana hata tukiongelea bingwa wa msimu uliopita tu, Leicester City, tutataja ubingwa wake ambao tayari ni historia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom