Wazee wa gonjwa la mouth(bounimouth, polymouth, pothmouth) mpo?
Wataenda wapi, hawa ata mtumbwi ukizama wao wapo tu wakiimbia never walk aloneliverfool mpooo
ha ha naskia hakuna marudiano hapoWataenda wapi, hawa ata mtumbwi ukizama wao wapo tu wakiimbia never walk alone
Naona bado mmeweka akiba ya wachezaji. Southampton kawanyoa eee. Poleni tu sasa.Hayo Ni Mawazo Yako tu! Kilichotufanya Tutoe Draw leo Lengo la Klopp Ni Kurahisisha Mzigo Wa Mechi Tulizonazo Wiki Hii....
Kumbuka Kuwa Ndani Ya January Tuna Mechi 2 za LEAGUE CUP ikiwemo Moja Kabla Ya EPL na Man U.....
So, Klopp Kaeka Kwenye Benchi Wachezaji Wake Kwa Ajili Ya Nusu Final Ya LEAGUE CUP, na EPL vs Man U....
Ndomana Mechi Ya Leo Haikuwa Katika Priyority Yake Na Akaamua Kuanzisha Watoto Watupu Wakapambane na Kupunzisha First XI yake....
Mpira ni Mbinu sio kukurupuka... Kwenye Marudio Hakutakuwa Na Mzigo Kwa Liverpool Kwani Watacheza Madogo Wale wale! Kwahiyo Hakutakua Na Athari Kwa Wachezaji Wetu Wa Ligi...
Naona southampton hao wanaenda kucheza fainali mliyokuwa mnategemea duu. Mmenyolewa ngapi na southamptonNdugu yangu King Ngwaba acha kujichosha bure kumuelewesha mtu ambaye ameshadhamiria kutoelewa.
Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
Mlisema liverfool wanacheza kama timu haizalishi nani hayupo. Hizo pengo za nin tena.Sadio pengo lake limeonekana pia, striking force haikuwepo kabisa
Hahaha tulijua ni povu tu la soda na ndo mana tukasema sisi hatufukuzi liva, arsenal wala siti, sisi tunafukuza chelsea, tulieni sasa tuwanyooshe j2Liver iliyokuwa inatishia naona now haipo tena. Tulikuwa tunatisha sana kwa kupiga short passes in tight spaces huku tukikimbia kuelekea goli la wapinzani. Ssa hvi naona Klopp anaamua kutumia wings kupiga cross ambazo binafsi leo ni mechi ya 5 mfululizo nimeshuhudia hazina manuufaa kabisa kwetu. Klopp akiamua kuanza kucheza tena zile one touch za haraka in tight spaces kama alivyokuwa akifanya awali na Coutinho, Firmino, Lallana, Mane na Origi na wengine basi tutarudi kwenye ubora wetu. Huu mpira wa kupiga krosi hautufai coz timu pinzani wamepaki basi so wanakuwa wengi kwenye boksi so kuclear inakuwa rahisi. Kingine Klopp aache mahaba niue na DS15 na Can maana wanatuumiza sana hasa hasa DS15 leo alitakiwa atolewe hata dakika ya 20 baada ya goli maana hii mechi haimfevi his type of play inahitaji mtu kama Origi. Can nae ni kidonda pale kati hataki kutoa mipira haraka na anataka kuwa Messi kwa kukusanya kijiji anaishia kunyanganywa mipira bora Wij aanze na Lucas maana kdgo hawa majamaa wako straight kutoa mipira. Ila kinachotu cost ni huu mfumo mpya wa Klopp wa kupiga krosi wakati timu pinzani wako kama 7 kwenye boxi, its madness kwa kweli. Kwenye timu za kupaki basi unapiga short passes za one touch huku mki move haraka in tight spaces, na mwanzoni huu mfumo Klopp aliutumia ukatusaidia ila aliyemdanganya ahamie kwenye krosi ndo anaishusha Liver now.
Jamani poleeeeLiver iliyokuwa inatishia naona now haipo tena. Tulikuwa tunatisha sana kwa kupiga short passes in tight spaces huku tukikimbia kuelekea goli la wapinzani. Ssa hvi naona Klopp anaamua kutumia wings kupiga cross ambazo binafsi leo ni mechi ya 5 mfululizo nimeshuhudia hazina manuufaa kabisa kwetu. Klopp akiamua kuanza kucheza tena zile one touch za haraka in tight spaces kama alivyokuwa akifanya awali na Coutinho, Firmino, Lallana, Mane na Origi na wengine basi tutarudi kwenye ubora wetu. Huu mpira wa kupiga krosi hautufai coz timu pinzani wamepaki basi so wanakuwa wengi kwenye boksi so kuclear inakuwa rahisi. Kingine Klopp aache mahaba niue na DS15 na Can maana wanatuumiza sana hasa hasa DS15 leo alitakiwa atolewe hata dakika ya 20 baada ya goli maana hii mechi haimfevi his type of play inahitaji mtu kama Origi. Can nae ni kidonda pale kati hataki kutoa mipira haraka na anataka kuwa Messi kwa kukusanya kijiji anaishia kunyanganywa mipira bora Wij aanze na Lucas maana kdgo hawa majamaa wako straight kutoa mipira. Ila kinachotu cost ni huu mfumo mpya wa Klopp wa kupiga krosi wakati timu pinzani wako kama 7 kwenye boxi, its madness kwa kweli. Kwenye timu za kupaki basi unapiga short passes za one touch huku mki move haraka in tight spaces, na mwanzoni huu mfumo Klopp aliutumia ukatusaidia ila aliyemdanganya ahamie kwenye krosi ndo anaishusha Liver now.
