Competition iliyotokea imemfunza sana. Now kaanza kuwa true goalkeeper yani.Mignolet ni "MAN OF THE MATCH" .... Jama Benchi Limempa Funzo sasahivi Namkubali 100% hasa Katika Mchezo wa leo Manake Katusave Sana....
Imekuwaje sasakwangu alibana. kwake atapanua (ataachia).
hapo ndiyo penye utamu wenyewe sasa!
? .....doooh unabahati mbaya kila siku unachomolewa jogoo veepeee hafiki mshi.....
?Yaani sikuhizi umekuwa mkweli na muwazi zaidi yaani nakupendajeeee!!!! kesho ntakupitia maeneo yako nikupe soda yako si kwa ukweli huu!!!..... missing you!!!.... usijali no pain this time, EPL chapter closed ........ see youuuuuuu at EFL if God wishes.Jamani tuacheni utani Liver tumeporomoka vibaya sana kutoka kwenye standards zetu za kucheza uki compare how we played gemub4 za mwisho and we used to play november. Tunashuka issue sio kufurahia droo ila angalia how we are playing now.

Bibie umefurahi sana ee?Yaani sikuhizi umekuwa mkweli na muwazi zaidi yaani nakupendajeeee!!!! kesho ntakupitia maeneo yako nikupe soda yako si kwa ukweli huu!!!..... missing you!!!.... usijali no pain this time, EPL chapter closed ........ see youuuuuuu at EFL if God wishes.![]()
Walaaaaa kawaida tu......Bibie umefurahi sana ee?
Yaani sikuhizi umekuwa mkweli na muwazi zaidi yaani nakupendajeeee!!!! kesho ntakupitia maeneo yako nikupe soda yako si kwa ukweli huu!!!..... missing you!!!.... usijali no pain this time, EPL chapter closed ........ see youuuuuuu at EFL if God wishes.![]()

ukiona timu moja inafurahia draw na nyingine inasikitika, ni rahisi sana kujua ipi ni timu kubwa baina yao!Walaaaaa kawaida tu......
Liverpool bila Mane na Coutinho ni sifuri..na bado january haijaisha. Muombe Mane watolewe haraka huko AFCON arudi kuwaokoa maana mpaka kiwango/confidence ya Coutinho irudi si leo