Mkuu wewe subiri uone kitakachotokea.........Lets have +ve attitudes.Liverpool team:
Mignolet, Alexander-Arnold, Lovren, Klavan, Milner, Henderson, Wijnaldum, Can, Lallana, Firmino, Origi.
Substitutes: Karius, Gomez, Moreno, Stewart, Ejaria, Coutinho, Sturridge.
Kikosi Chetu Cha Leo Ni Chepesi Mno....
Lakini Wacha tuhope For Good result....
Injury + AFCON ni Jinamizi kwetu....
nowfeed2all.euWakuu Naomba Msaada Wa Link Niweze Kustream online Hii Gemu leo Nipo Eneo baya Kidogo Kuifikia Luninga...
kawaida kushangilia draw hao jamaa mshika kibendera alisimama pale pale! wacha waendelee kukimbizana na Everton na kubebwa kwao, Pogba vipi kabaki uwanjani na alicheza Rugby bado sijui.Beside it was an offside goal anyway
Jamani tuacheni utani Liver tumeporomoka vibaya sana kutoka kwenye standards zetu za kucheza uki compare how we played gemub4 za mwisho and we used to play november. Tunashuka issue sio kufurahia droo ila angalia how we are playing now.