View attachment 458736
Na Ndiyomaana Kuna Watu Nakuwa SiwaQuote Kwasababu Uwelewa Wao Ligi za Europe unakuwa Mdogo Na Ndiyomaana Mchezo Wa Jana Wakasema Tayari Soton Ameshatinga Finali wakiamini Kuwa Hakuna First Leg Wala Second Leg....
Lakini Kwa sisi Tunaoijua EFL Cup tunawaambia Kuwa Tutafanya Maamuzi Katika 2nd Leg hapo January 25 ambapo Tutaamua Nani Atacheza Finali Kama ni Liver au Soton..
3 games without Jordan Henderson no wins . mliokuwa mnamtukana Jordan now mnaona umuhimu wake. Naomba hiyo j2 awepo maana
Achen kulia lia basi, hakuna namna nyingine mnatakiwa mrudi kwenye nafasi zenu. Welcome OLD TRAFFORD teh teh tehLiver iliyokuwa inatishia naona now haipo tena. Tulikuwa tunatisha sana kwa kupiga short passes in tight spaces huku tukikimbia kuelekea goli la wapinzani. Ssa hvi naona Klopp anaamua kutumia wings kupiga cross ambazo binafsi leo ni mechi ya 5 mfululizo nimeshuhudia hazina manuufaa kabisa kwetu. Klopp akiamua kuanza kucheza tena zile one touch za haraka in tight spaces kama alivyokuwa akifanya awali na Coutinho, Firmino, Lallana, Mane na Origi na wengine basi tutarudi kwenye ubora wetu. Huu mpira wa kupiga krosi hautufai coz timu pinzani wamepaki basi so wanakuwa wengi kwenye boksi so kuclear inakuwa rahisi. Kingine Klopp aache mahaba niue na DS15 na Can maana wanatuumiza sana hasa hasa DS15 leo alitakiwa atolewe hata dakika ya 20 baada ya goli maana hii mechi haimfevi his type of play inahitaji mtu kama Origi. Can nae ni kidonda pale kati hataki kutoa mipira haraka na anataka kuwa Messi kwa kukusanya kijiji anaishia kunyanganywa mipira bora Wij aanze na Lucas maana kdgo hawa majamaa wako straight kutoa mipira. Ila kinachotu cost ni huu mfumo mpya wa Klopp wa kupiga krosi wakati timu pinzani wako kama 7 kwenye boxi, its madness kwa kweli. Kwenye timu za kupaki basi unapiga short passes za one touch huku mki move haraka in tight spaces, na mwanzoni huu mfumo Klopp aliutumia ukatusaidia ila aliyemdanganya ahamie kwenye krosi ndo anaishusha Liver now.
Kocha mwenye kazi ngumu ni yule aliyeshinda 1-0 halafu anatakiwa kuja Anfield kwa 2nd leg. Angalieni msije nyie ndiyo mkaishia pale.Poleni sana wapendwa wetu tulipenda sana tukutane fainali ila Soton hawa wabaya sana,Soton jamaniii!!!! .......ila chance bado ipo kazeni buti![]()
Hahahaha ishi kwa matumainiiiii........... aiseeee missing you mooKocha mwenye kazi ngumu ni yule aliyeshinda 1-0 halafu anatakiwa kuja Anfield kwa 2nd leg. Angalieni msije nyie ndiyo mkaishia pale.
Miss you
Kocha mwenye kazi ngumu ni yule aliyeshinda 1-0 halafu anatakiwa kuja Anfield kwa 2nd leg. Angalieni msije nyie ndiyo mkaishia pale.
Miss you
Mtakutana nao kama mtatoka salama kwenye shimo (hole) aka Hull.Poleni sana wapendwa wetu tulipenda sana tukutane fainali ila Soton hawa wabaya sana,Soton jamaniii!!!! .......ila chance bado ipo kazeni buti![]()
Hizo statistics zenu mwisho kesho, anzisheni wote, kipigo kama kawaNB: Hatujawahi poteza mechi MATIP akianza.
Hii post nitaileta kesho ukiwa na aibuHizo statistics zenu mwisho kesho, anzisheni wote, kipigo kama kawa
Naona unaota mchana. Kama kwenu ulishindwa kumfunga unategemea nn kwao.Here we go again..
Hakuna ushindi mtamu kama kumfunga ManFongo kwao, haijalishi competition or position.
Come on the Mighty Reds.
YNWA!