Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mashabiki wote wa soka tumekutana hapa JF tukibadilishana habari mbalimbali tunapongezana na kutaniana kuhusu timu tunazoshabikia ,now mmoja ya waasisi wa kijiwe chetu ambacho tunakutana hapa anashikiliwa na polisi.Tujitokeze kupaza sauti zetu kulaani huu unyanyasaji anaofanyiwa tusikae kimya kwenye hili tuendelee kupaza sauti kwenye mitandao yote ya kijamii(Facebook,Twitter,Instagram nk ) kulaani unyanyasaji huu.Tutumie hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]

inasikitisha sana Aisee..

serikali ambayo haikubali ukosoaji kutoka kwa Jamuhuri (Watu wake) haiwezi kuiepuka dhana ya "udikteta"

huu ni "udikteta" na Nchi yangu pendwa Tanzania haikuundwa katika misingi hii..
 
lets be honest..

Migs was V V V good y'day..

Bench has taught him well..

kazicheza mpaka Crosses jana lol..

Migs hatabiriki kabisa..but kama ataendelea kuwepo golini Monday..naomba tu awe katika form ya Jana..
Kabisa Mkuu bench kuna namna linafunza, Uyu Karius naamini akija kurudi langoni ataongeza umakini maana jana linuna balaa
 
Mosdef nimeona Klopp akimzungumzia Mignolet na form aliyokuwa kuwa nayo Jana nadhani tatizo kubwa LA bwana huyu ni jinsi gani ya kuanzisha mipira mirefu ASA kwa wings zetu pindi tukipata mipira hiyo but nadhani ni wakati wa kumpa nafasi
 
Zorc anaonekana kukataa move ya Christian Pilisic on this January sijui technical bench wataamua nini maana injury ya DS haeleweki
 
Finally Karius kapewa anachostahili mimi kawekwa bench leo mimi naona sawa tu. Hii itamfanya ajifunze kitu kua ukikosea unakaa bench haijarishi record zako wala wewe ni nani. Naamini pitia hili ata improve kuliko kuendelea kupata namba while unaendelea kukosea
Kumbe na wewe ni mwenzangu mkuu
 
Napenda sana style ya uchezaji ya ragnar klavan. Jamaa na utulivu wa hali ya juu sana halafu ana distribute mipira vizuri sana.
Tatizo ni umri wake tu lakini yuko vizuri sana hana makosa ya umakini kabisa ningependa klopp siku awachezeshe klavan na matip pale nyuma 1 day
 
Tatizo ni umri wake tu lakini yuko vizuri sana hana makosa ya umakini kabisa ningependa klopp siku awachezeshe klavan na matip pale nyuma 1 day
Mimi hao wote tupa kule Sakho ndio chombo hivi kwa nini anapigwa benchi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom