nyegere86
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 2,215
- 3,903
Sakho hayupo comfortable na Mpira hiyo ndiyo weakness yake kubwa ila he is very good in defending and very good in airMimi hao wote tupa kule Sakho ndio chombo hivi kwa nini anapigwa benchi?
Sakho hayupo comfortable na Mpira hiyo ndiyo weakness yake kubwa ila he is very good in defending and very good in airMimi hao wote tupa kule Sakho ndio chombo hivi kwa nini anapigwa benchi?
Tatizo letu ni mipira ya juu na hapa ndipo umuhimu wa Sakho unapoonekana.Sakho hayupo comfortable na Mpira hiyo ndiyo weakness yake kubwa ila he is very good in defending and very good in air
Safiii...team kopsMimi shabiki lia lia wa Liverpool mkuu.
Yaweke weweMbona humu siku hizi hamna amsha amsha !? ...yaani mapicha, maelezo na malink !
Wacha kuendekeza ujinga !Yaweke wewe
Sakho nidhamu mbovu ndomaana anakula mkeka na kucheza u23Mimi hao wote tupa kule Sakho ndio chombo hivi kwa nini anapigwa benchi?
Kwani kuna mwenye jukumu la kuleta hivo vitu humu?Wacha kuendekeza ujinga !
Kwani kuna mwenye jukumu la kuwa kihere here !? ...nimekumbusha watu walifanye jukwaa active, wewe unakerekwa nini ? ....tuliza mshipa wako !Kwani kuna mwenye jukumu la kuleta hivo vitu humu?
Nani wakulifanya jukwaa kuwa active zaidi yenu nyie mashabiki maandazi?Kwani kuna mwenye jukumu la kuwa kihere here !? ...nimekumbusha watu walifanye jukwaa active, wewe unakerekwa nini ? ....tuliza mshipa wako !
Wewe wacha kujishauwa shauwa kama malaya wa buguruni ! wewe ndo unajiona ulichimba msingi wa Anfield !? ...shika hamsini zako, usinizoe na tabia zako za kishoga shoga.Nani wakulifanya jukwaa kuwa active zaidi yenu nyie mashabiki maandazi?
Kila mtu akiwa parasite kama wewe jukwaa litakuaje active.
Uandikaji wako tu unaonesha wazi kuwa we ni mboga.Wewe wacha kujishauwa shauwa kama malaya wa buguruni ! wewe ndo unajiona ulichimba msingi wa Anfield !? ...shika hamsini zako, usinizoe na tabia zako za kishoga shoga.
Mnya porini wewe unajua nini ! hata kiswahili umejifunza mjini, habith mkubwa wewe !Uandikaji wako tu unaonesha wazi kuwa we ni mboga.
Mtoto wa kiume unaandika shauwa, maana yake nini?
Sijaelewa kwa nini mnatukanana nmefatulia mjadala wenu sijaona kwanini mmefikia hatua kubwa kama hyoMnya porini wewe unajua nini ! hata kiswahili umejifunza mjini, habith mkubwa wewe !
Pole kaka, kuna vihere here ambao wana kero sana. Nilikuwa na himiza members na koppites kuwa uzi umepoa, hivyo news na some good pictures are needed. Nashaanga jamaa anishamulia. Aiseeh nime mind sana, Anyway, wacha nimpuuze !Sijaelewa kwa nini mnatukanana nmefatulia mjadala wenu sijaona kwanini mmefikia hatua kubwa kama hyo
Kabisa Mkuu bench kuna namna linafunza, Uyu Karius naamini akija kurudi langoni ataongeza umakini maana jana linuna balaa
Mosdef nimeona Klopp akimzungumzia Mignolet na form aliyokuwa kuwa nayo Jana nadhani tatizo kubwa LA bwana huyu ni jinsi gani ya kuanzisha mipira mirefu ASA kwa wings zetu pindi tukipata mipira hiyo but nadhani ni wakati wa kumpa nafasi
Zorc anaonekana kukataa move ya Christian Pilisic on this January sijui technical bench wataamua nini maana injury ya DS haeleweki