Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha Umethibitisha kila stori ina sura zaidi ya mbili. Hapa umechagua sura inayokupendezesha wewe tu na kuja kusema hii ndiyo inayotakiwa kuangaliwa na kuaminika. Umekwenda kuchagua mechi walizoshinda Liverpool only but one halafu unakuja kusema ndiyo hali ilivyo kama vile Arsenal na Liverpool hawachezi mara kwa mara katika ligi.Kwa hiyo between 2000-2016 Liverpool na Arsenal hawajawahi kukutana hahahaha. Good try.

Mimi Najua Kama Tulikutaka Kabla ya 1992 na Baada 2000s!!! Lakini Nimekuekea Hizo ScreenShot Kukuonesha Kuwa Mimi Kukufunga wewe Sibahatishi wala Sikuotei Bali Ni Kawaida Yangu Niliyozoea Kukunyanyasa Yokea Kitambo tu... Hapo points Yangu Ni Kwamba Kama Niliweza Kukupiga Gemu 10 mfululizo (Umesota Miaka 8 bila ya Kumfunga Liverpool) nije Nishindwe Kukufunga Gemu 1 ya juzi????

"KWANZA USIJIDANGANYE! ARSENAL HAIKUWAHI KUMTAWALA LIVERPOOL HATA KIPINDI KIMOJA AMBACHO ALIKUWA MBABE WA LIVERPOOL"
SASA HUO UJASIRI WA KUONGEA NA SISI UMEUPATA WAPI?? WEWE ARSENAL KUBAHATIKA USHINDI SIKU MOJA MOJA HAIMAANISHI KUWA NDIYO UMEJIKOMBOA UTUMWA KWA LIVERPOOL!! KWANZA MIMI SITAWALIWI NA TIMU ZA LONDON UKAE UKIJUA...
SASA SUBIRI KIDOGO NITAKULETEA MATOKEO YA 2000 - 2016 UONE UNAVYONYANYASIKA.

Hebu Angalia Na Hapa FA Finali nilivyokunyanyasa mwaka 2001 ↓↓↓ sio uropokwe tu wakati Nimeshakuzoea..
 
Attachments

Hahahaha Umethibitisha kila stori ina sura zaidi ya mbili. Hapa umechagua sura inayokupendezesha wewe tu na kuja kusema hii ndiyo inayotakiwa kuangaliwa na kuaminika. Umekwenda kuchagua mechi walizoshinda Liverpool only but one halafu unakuja kusema ndiyo hali ilivyo kama vile Arsenal na Liverpool hawachezi mara kwa mara katika ligi.Kwa hiyo between 2000-2016 Liverpool na Arsenal hawajawahi kukutana hahahaha. Good try.

Na Labda Nikuweke Sawa Zaidi Ni Kuwa Mimi Wewe Kukupiga Nnne Nne Sijaanza Mara Hii!! Ni Kitambo Tu Ninajipigia Kwako... Angalau Wewe Ndiyo Useme Unabahatika Kuniokota..
Usikurupuke tu Mkuu Utaumbuka Wewe hujui Hostoria Ya Timu Yako Tunavyoinyanyasa..... Mimi Mshindani Wangu Ni Man U,, Si Wewe Arsenal na Chelsea..

Haya Angalia Hapa Nilivyokuumbua Nne Nne ↓↓↓ Na Za kule Champion League Ambako Nilikutandika 4 mwaka 2008 hapo Sijaziingiza lakini Zihesabu Nazo pia.. Nahizo 5 hapo vipi!!!

Liver 9.jpg
Liver 8.png
Liver 7.jpg
Liver 6.png
Liver 5.png

Liver 4.jpg
Liver 3.png
Liver 2.png
Liver 1.jpg
 
Our Captain anazidi Kulitawala Dimba na Kuwaeka Katika Wakati Mgumu Midfielders Za Wapinzani

#TOUCHES.png
#PASSES COMPLETE.png

Coutinho Naye Anazidi Kushine Msimu huu! Ana Assist 4 na Goli 4

#ASSIST.png
 
Wazee wa Emirates hao sifa yao ni kumaliza top 4 in 20 straight years lakini UEFA champions league so far ni ZERO almaarufu patupu
 
Mimi Huwa Hawa Arsenal Ninawaangalia tu.. Manake Wao Misimu Yote Huanza Na Kasi lakini Mwisho Wao December... Ikifika Dec basi wanaanza Kugombania Nafasi ya 4...
Sasahivi Anateremka Na Vibonde lakini Subiri Aanze Kukutana Na Man U, Spurs, Everton na Man City uone Kizaazaa...
 
Mkuu kama timu haina Ile the most prestigious crown in club level all over the world = UCL basi asibishane na LFC
 
Na Labda Nikuweke Sawa Zaidi Ni Kuwa Mimi Wewe Kukupiga Nnne Nne Sijaanza Mara Hii!! Ni Kitambo Tu Ninajipigia Kwako... Angalau Wewe Ndiyo Useme Unabahatika Kuniokota..
Usikurupuke tu Mkuu Utaumbuka Wewe hujui Hostoria Ya Timu Yako Tunavyoinyanyasa..... Mimi Mshindani Wangu Ni Man U,, Si Wewe Arsenal na Chelsea..

Haya Angalia Hapa Nilivyokuumbua Nne Nne ↓↓↓ Na Za kule Champion League Ambako Nilikutandika 4 mwaka 2008 hapo Sijaziingiza lakini Zihesabu Nazo pia.. Nahizo 5 hapo vipi!!!

View attachment 426941 View attachment 426942 View attachment 426943 View attachment 426944 View attachment 426945
View attachment 426946 View attachment 426947 View attachment 426948 View attachment 426949

Mkuu stats zako zinakupa kichwa. Post ya kwanza imeonyesha Liverpool imeshinda mechi moja zaidi ya Arsenal head-to-head (Liver 17 Wins vs 16 Wins Arsenal) afu bado unachonga as if Liverpool wameifunga Arsenal mechi nyingi sana lol. Analyst kama wewe ni wale wa vichuguuni. Unakopy wapi hizo datas zako, Twitter au kwa kina michuzi, Maulidi Kitenge au Ricky Abdala? Utawekaje data ambazo hata wewe mwenyewe huwezi kuzielewa au kuona tofauti ni ndogo iliyopo? Anyway, siwezi kukulaumu Watanzania tupo hivi, kila kitu kwetu tunakichukulia ki-emotional zaidi wala si ki-logical au ki-rational. Ndio kosa letu hasa katika Soka.
 
Mchunieni huyo mwakilishi wa wazee wa kumsliza top 4 for 20 years with ZERO UCL
Mtamaliza kuni kwa kuchemsha mawe
Arsenal ni timu ndogo sana kwa LFC
The numbers don't lie
 
Lol. Ku

Lol hiyo top 4 yenyewe inawatowa jasho afu bado mnaikashfu. Sizitaki mbichi hizi staili sio . Anyway tusubiri tuone kama mtakunywa kahawa(lifting or FA cup) au chai (lifting ).Mara ya mwisho yenu kunywa kahawa ilikuwa enzi za Roy au sio?
 
Umebeba UCL mara ngapi? Kusudiio la kumaliza top 4 kwa kila timu ni kwenda UCL
Sasa umemaliza top 4 Kwa miaka 20 mfululizo Na huna hata ndoo moja maana yake Ni nini?
FA ni kombe la mbuzi tu
UCL crown is the most prestigious of them all at club level
Wenzio tinafukuzia UCL namba 6 wewe bado uko "0"
Then unataka kujilinganisha na sisi? Khaaa
Arsenal kombe lenu ni FA tu
 
Mimi Nimeshampuuza Coz Najisikia Kujishusha Hadhi Kubishana Na Mshabiki Wa Kitimu Kidogo Kilichokuwa Hakina hata Nyota Moja ya UCL Wakati Mimi Nina Nyota 5..
 
Yaani Mtu Amekuwa Moga Kiasi Hichi..!!!!
Nilifikiri Ni Pekeyangu Nilieoona Kuwa Juzi Liverpool ilipocheza Palace ilicheza Mpira Wa Ajabu ambao Kwa Akili Ya Kawaida Huezi Kuamini Kama Binadamu Wanaweza Kuucheza! Kumbe Mpaka Wapinzani Wameona 😀😀😀😀😀 .......!
Musiogope Yule Ndiyo Klopp Mfalme Wa Kutengeneza Timu ikawa na Pace.....
Unajua nini maana ya Pace??
Maana ya "PACE" ni → "Consistent and Continuous Speed in Running"......

Sasa Wanavyocheza Liverpool si Ajabu Bali JK kawatengeneza Waweze Kuwa Na Pace na Kwa Mara Ya Kwanza imefana Zaidi Katika Mechi Yetu Ya Palace...
Na Ndiyomaana Kuna Wachezaji Ndani Ya Liverpool Wana Vipaji Lakini Watakaa Benchi Kwa Kutokuwa Na hii Pace.....
Kwasababu ili uendane na Mfumo wa Klopp ni lazima uwe na Pace....
Na Mtu Wa Kwanza Kuadapt Mfumo wa Klopp ni Sadio Mane Ambaye Alionesha pace siku ya Arsenal... Baadae Akafuata Cout ndiye Mtu wa Pili Kuadapt Pace ya JK...

Na Kuna Mtu Mmoja Anaitwa Moreno (Fullback left) ana pace ya Ajabu lakini Kinachomharibia na Kukosa Trust ya JK ni kwamba Hajui Kulinda... Ni Tofauti na Milner! Milner anajua Kushambulia na Anajua Kukaba..

To be honest Moreno Kwa Kushambulia na Kueka Zile Kross na Pace ni Bora Kuliko Milner.. Ila Hatumuamini Moreno na Mimi Binafsi Siko Tayari Apangwe Kwa Sababu Hajui Kulinda.. Akishapanda na Mpira Ndiyo Kapanda.. Kurudi Anajisahau..

CHELSEA- COMMENT.jpg
 
View attachment 427696

Ha ha haa,kama robots
 
Umebeba UCL mara ngapi? Kusudiio la kumaliza top 4 kwa kila timu ni kwenda UCL
Sasa umemaliza top 4 Kwa miaka 20 mfululizo Na huna hata ndoo moja maana yake Ni nini?
FA ni kombe la mbuzi tu
UCL crown is the most prestigious of them all at club level
Wenzio tinafukuzia UCL namba 6 wewe bado uko "0"
Then unataka kujilinganisha na sisi? Khaaa
Arsenal kombe lenu ni FA tu

Hahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom