Bora Hata Wewe umekuwa positive kidogo na Timu yako kuliko kwa Hawa wenzako wanaotukabidhi kwa Conte![]()
![]()
![]()
![]()
So Jose Mourinho ameanza ku-park bus leo ?Hakupark bus na City or Watford...didnt watch game yenu na Feyenoord.
So Jose Mourinho ameanza ku-park bus leo ?
Haya mnayoongea leo hata Jose alivyomfunga Rodgers mkakosa ubingwa mliongea hayahaya, approach ya Jose kwenye hizi game inajulikana haijaanza leo na haitaisha leo.
Binafsi sijawahi kuchukia system ya Mourinho nilikuwa sipendi the way anavyolalamika akifungwa na sioni tatizo kocha kubadili tactics zake kutokana na mpinzani anayekutana nae hata SAF amefanya sana. Jose anajua game za mahasimu sio za kufungwa ndio maana unaona approach yake tangu alivyokuwa Madrid vs Barca alivyokuwa Chelsea vs ArsenalLol, i thought ulikuwa against na mfumo wa Mourinho kupark bus? What happened?
My point was, since the start of the season, Mou kaja kupark bus Anfied tu, the fear of losing ilikuwa kubwa, and that is not what top managers do.
We all know Mou aliachana na huu mfumo tangu last season wakat yupo chelsea. And sidhan hata msim wa kabla ya hapo ambapo aliwapa ubingwa chelsea alikuwa defensive minded sana. I remember a lot of utd fans used to criticise him for his tactics, leo hii the same utd fans, wanaiita ni "masterclass".
Just Admit it, he parked the bus tonight, and that was his only way of nicking atleast a point. Na alifanikiwa. Thats not the utd way.
Binafsi sijawahi kuchukia system ya Mourinho nilikuwa sipendi the way anavyolalamika akifungwa na sioni tatizo kocha kubadili tactics zake kutokana na mpinzani anayekutana nae hata SAF amefanya sana. Jose anajua game za mahasimu sio za kufungwa ndio maana unaona approach yake tangu alivyokuwa Madrid vs Barca alivyokuwa Chelsea vs Arsenal
Mourinho big match zote against United alikuwa anapack bus,msimu ambao walichukua ubingwa first leg against United alicheza timu bila striker na akafanikiwa kupata droo game ya pili akashinda 1-0
Tactics za kupark bus, hazina nafas katika modern football ya sasa. Ndo maana hata yeye alilazimika kuachana nazo.
Chelsea players akiwepo Hazard hated him kwa hizo tactics, hakuna young attacking player ambaye anataka kuwa limited katika game yake.
And kuhusu kupark bus, he started it with chelsea, Mou ndiyo kocha mwenye mafanikio chelsea, he's respected there, ndiyo aliyoifanya chelsea irule again England, so zile tactics hazikuidhuru chelsea, kwasababu alianza nazo, na imekuwa ni kama culture ya chelsea. But he failed at Madrid, kwasababu kina Perez hawakutaka mpira wa namna hiyo, alivyorudi chelsea, Mrusi hakutaka tena mpira wa kupark bus, though kuna vipind Mou alicheza kwa aina ya kupark bus na counter, but last season alipoamua kuiditch kabisa hiyo ishu, alifail massively. and to be honest huu msimu wote sijaona Mou akipark bus zaidi ya leo dhidi ya Liverpool. Hiyo inakuonyesha kuwa ubora wa Mou upo eneo hilo tu, he cant thrive katika tactics zingine. Sidhan kama angekuja Anfield na kujaribu kucheza mpira angeweza kupata hata clean sheet. Sasa mtakuwa mnacheza hivi kwenye kila big matches?? Whats the use?? Next weekend mtakuwa stamford, so kule nako mtaenda kwa style hii? Kama ndiyo basi hiyo ni weak mentality Aisee.
And Utd/Madrid, siyo Chelsea, Mou hana legacy kwenye hizi clubs, ndo maana Madrid hakukaa kwasababu hawakufancy aina yake ya mchezo. Sasa sidhan kama Sir Fergie/Charlton wameridhika na perfomance ya leo. Hii ilikuwa ni LFC vs Man utd. siyo Chelsea Vs Utd, or Chelsea Vs LFC, ni more than a football game, you dont play for a draw kwenye hii game..ndo maana hukuwah hata kuona Hodgson akija Old Traford enzi zile na kuplay for draw. Haipo hivyo.
Mashabiki Wa liverfool kipi kimewasibu?? Hivi yule captain wenu alivyoteleza Ball possession kwenu ilikuwa ni asilimia ngapi??? Mbona mnajitia upofu??? Mission yetu ilifanya kazi Leo.. Mmepiga pasi ila shots on target hazifiki hata 6 sasa hapo kuna team ....Lol, i thought ulikuwa against na mfumo wa Mourinho kupark bus? What happened?
My point was, since the start of the season, Mou kaja kupark bus Anfied tu, the fear of losing ilikuwa kubwa, and that is not what top managers do.
We all know Mou aliachana na huu mfumo tangu last season wakat yupo chelsea. And sidhan hata msim wa kabla ya hapo ambapo aliwapa ubingwa chelsea alikuwa defensive minded sana. I remember a lot of utd fans used to criticise him for his tactics, leo hii the same utd fans, wanaiita ni "masterclass".
Just Admit it, he parked the bus tonight, and that was his only way of nicking atleast a point. Na alifanikiwa. Thats not the utd way.
Mashabiki Wa liverfool kipi kimewasibu?? Hivi yule captain wenu alivyoteleza Ball possession kwenu ilikuwa ni asilimia ngapi??? Mbona mnajitia upofu??? Mission yetu ilifanya kazi Leo.. Mmepiga pasi ila shots on target hazifiki hata 6 sasa hapo kuna team ....
Nkamu gwangu ndikusekela,Loli mukusekesya nukujoba kwinuDada unafurahia sare?

Always big four matches huwa zinaboa ....Wont be watching that game (utd vs chelsea). Will be boring as hell. Seriously. Lol
1.Mou hajawahi kuacha ku-park bus na hawezi kuacha inategemea anacheza na opponent gani ni kama LVG na philosophy yake, mara nyingi big match away game huwa anacheza defensive na inategemea timu yake ipo kwenye position game.Diego Simeone ni modern coach lakini approach yake hana tofauti na Mourinho
2.Kilichomuondoa Madrid ni kugombana na kina Valdano,Zizou,Casilas,Ramos,CR7 na wengine ambao ni wafuasi wa Perez na uwanjani alikutana na best timu(Barcelona na Pep Guardiola sidhani kama kuna kocha angeiweza hii timu)
3.Sababu kubwa ya Jose kufukuzwa Chelsea ni bodi kutompa hela ya kuwasajili wachezaji aliowataka(Djiloboji,Baba Rahman walisajiliwa na Emenalo na hata msimu huu wamefeli kwenye usajili,Conte anataka kumleta Sabatini) na ule ugomvi wa yule daktari(hii ndio kubwa i think wachezaji hawakupenda )
4.SAF alishastaafu hakuna anayeweza kuziba pengo lake kumbuka alimpa timu Moyes akachemsha vibaya,sidhani kama atakuwa comfotable table icheze vizuri halafu ifungwe kila siku (tena na Liverpool).
Tatizo kubwa linalomsumbua Mourinho na United ni Pogba kucheza chini ya kiwango akiweza ku-fix hilo basi.Defence ya United na foward haina tatizo Pogba anacheza amerelax sana anapoteza mipira ovyo na bado sio mzuri kwenye final ball
Always big four matches huwa zinaboa ....
Mou anapark bus kulingana na game anayocheza. That means, kwasasa parking the bus siyo priority yake hata kidogo. Kwa kifupi yeye mwenyewe haifancy hiyo set-up tena, unless awe anahitaji draw. But tangu nmemjua Mou wakat yupo Porto, alikuwa ana sit back na kucheza Counter. Mara ya pili alivyokuja Chelsea sidhan kama alikuwa anasit back na kucheza counters na last season hakucheza kabisa aina ya huo mpira. Kwa kifupi Mourinho ameachana na aina ya hiyo set-up.
Ishu ya Kwamba alifail chelsea kwasababu ya kushindwa kufanya signings ni PR tu. Liverpool summer hii tulimiss 95% of our first targets. Hicho kitu kinatokea kwenye mpira. Just face it Mourinho cant thrive kwenye tactics zingine. Strength yake ipo katika kusit back na kucheza counter, ukilinganisha na msimu aliowapa chelsea kombe, last season alii-ditch completely hiyo set-up. Nakumbuka tulimpiga 3-1 at stamford, coz hakusit back siku ile, he was trying to play attacking football, na akafail. The difference between Conte and Mourinho ni kwamba Conte ana defending kwa kumiliki mpira, and Jose anadefend kwa kupark bus.
Madrid wachezaji walikuwa hawafurahishwi na falsafa ya Mourinho, hilo lipo wazi sana, na wachezaji wasipofurahishwa na falsafa yako, kupoteza dressing room ni rahis. Kulikuwa kuna baadhi ya games ambazo Cr7 alionyesha wazi kabisa kutopenda set-up yao uwanjani. Big players wote wa Madrid walikuwa against na Mourinho. Unaweza ukaangalia aina ya mpira anaofundisha zidane now, na ukaelewa kwann alikuwa hakubaliani na falsafa ya Mourinho.
Idea ya SAF kumpa team Moyes, ilikuwa ni nzuri, kwasababu alielewa kunahitajika mtu wa kuanza na team upya, ilikuwa ni lazma mpitie kipind kigumu SAF akiondoka, hilo lilikuwa haliepukiki kabisa. Moyes alifelishwa na fans pamoja na medias, hawakumpa nafas ya kusettle in well, and hicho kitu ndo kimeharibu career ya Moyes mpaka leo hii, Moyes siyo yule kocha tuliyekuwa tunamjua. Unafatilia mpira, utaelewa ni kwanini SAF wanted Moyes at united. SAF alikuwa anaangalia longterm zaidi. And he was right kabisa. Arsene Wenger anamkubali Eddie Howe wa Bournemouth, but Arsenal fans hawawezi kukubali hicho kitu, but ukiwaangalia Bournemouth utaelewa kwanini Eddie Howe ni lulu. United now mnaenda kwa shor-term approach. Ambayo mpaka sasa haijawaletea matunda. Labda msubiri kwa Mourinho ambaye pia kwa upande wangu sidhan kama atawaletea mafanikio mnayoyahitaji, ukisema ligi bado mbichi itakuwa siyo kweli, game ya 8 hii, and LVG had 16 pts last season muda kama huu, na alimaliza nafas ya 5.
Said it before, kuwa adui wa maendeleo ya Pogba ni Mourinho, siyo mtu mwingine. Kwa aina ya game plan yenu ya Jana huwez kutemegea Pogba kushine hata kidogo, na kitu kibaya ni kwamba alikuwa anacheza na kiungo dhaifu sana, ulimuona Emre Can jana, hakuwa fit na he was awful, Henderson hakuwa na msaada, and Cou had to drop kucheza kwenye mid-3. And pogba alifail kushine. Mkhtaryan, ndo signing muhimu sana mliofanya last summer, naona katoka majeruhi, ngoja tuone atafanya kitu gani.
mhuu ajabu mashabiki WA man u wanafurahia droo,hii in indicate kuwa walikuwa na hofu na timu yao ndo maana wameweka kambi humu,sio mbaya ILA imetuathiri sisi Liverpool,tutarudi tena na Ari na nguvu mpya man u kutupata msahauMashabiki Wa liverfool kipi kimewasibu?? Hivi yule captain wenu alivyoteleza Ball possession kwenu ilikuwa ni asilimia ngapi??? Mbona mnajitia upofu??? Mission yetu ilifanya kazi Leo.. Mmepiga pasi ila shots on target hazifiki hata 6 sasa hapo kuna team ....