xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Wamevurugwa hao dada angu hataa sihangaiki nao, walivowatandika wale arsenal na Chelsea basi wakatuona sisi ni underdog, tunaondoka na point moja juanfield wanaanza kulia lia.
you are a loser and you will always be
Mbona unawakana wenzio mkuu, kopites, kuna yule anaependa kubold waulize huwa wanashinda wapiKawaida Ya the real Koppites hawana kiherehere cha kwenda majukwaa yenu
Karibuni sana Hapa the Kop