juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
M
man city aliwachapa kwenu kwa sababu mourinho hakutaka kupaki basi ,utabisha bure ILA Liverpool,arsenal,totenham watawachapa kwenu easily Tu,labda mpaki basi na kwenu mbele ya mashabiki mtaambulia draw tena,game ya Jana man u waliperform watatu Tu de gea,baily,na herera.Naona tunaenda mbele na kurudi nyuma,
1.Mourinho big match zote hasa away huwa anacheza defence,msimu wa mwisho kuchukua ubingwa Chelsea against United game zote approach ilikuwa hiyo hiyo akapata droo OT,akashinda Stamford Bridge Hazard akafunga goli la ushindi.Jose akicheza na Sunderland,Stoke,Newcastle hapaki bus na ndio maana alikuwa anafungwa na timu ndogo (hii approach hawezi badilisha) ni sawa kumwambia Wenger aache kucheza sex football ni imposible
2.Bodi ya Chelsea na Emenalo walichemsha sana kwenye usajili Jose huwa anafanya usajili mapema alimtaka Stones akamkosa Terry na Cahill wameshachoka na kuumia kwa Zouma ikawa balaa zaidi.Msimu huu Conte alitaka kuwasajili Bonucci,Koulibally,Naingollan na Morata na wote hao kawakosa (Cahill,Luiz,Fabregas) sio aina ya wachezaji anaowataka.
Conte kama hatapata wachezaji anaowahitaji naye atachemsha
2.Real Madrid kuna tatizo la wachezaji kujiona wakubwa kuliko kocha hata Anceloti/Benitez yamewakuta,now Zidane anavyofanya rotation yamemkuta(CR7,Isco,James) sema Zizou ni kipenzi cha Perez ndio kinachomsaidia
3.Nilishasema hakuna kocha ambaye ataweza kuziba pengo la SAF so i understand kelele za mashabiki na kibaya zaidi opponent wameimarika sana hata SAF angekuwepo now angepata shida.
4.Sidhani kama tatizo la Pogba ni Jose,tangu Euro Pogba hayupo kwenye form hadi leo kule France anacheza na Kante/Sissoko/Matuidi/ still bado anachemsha.Game ya jana Pogba alikuwa anarelax sana utafikiri yuko mwenyewe uwanjani anapoteza sana mipira Fellaini na Herrera wanaonekana bora kuliko Pogba