Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
What a fantastic save!!!!????
Everton midtable team wenzenu wamejikalia kimya maana wanajua nafasi waliopo sio yao soon wanaenda kwenye nafasi yao, cha ajabu eti kikongwe aliekaa miaka 20+ bila mtoto hatimae ana matumaini ya kupata mtotoWewe Nawe Umekuwa Muongeleaji Soka??
Hivi Umewahi Kuiona Liverpool ikaanza Na Kasi Kama Arsenal ikasha ikaishia Njiani??
Hebu eka Historia Hapa Ya Miaka 10 iliyopita Ya Liverpool Muda Kama Huu ilikuwa na Points Ngapi na inaishia Nafasi Ya Ngapi!!!!
Liverpool Mara Zote Katika Miaka 15 iliyopita inapotimiza Points 17 ndani ya Michezo 8 basi hukamata Nafasi Ya Pili...
Lakini Arsenal inapotimiza Points 18 kwenye Michezo 8 basi Huishia Kugombania Nafasi ya 4...
Acha Kuifananisha Liverpool na vitu vya kijinga....
maajabu hayaishiWana Kops Munalofanya Sio Sahihi!!! Haiwezakani Anatokea Mtu fron Nowhere Anajifanya Analifahamu Hili Jukwaa Wakati Kaanza Kulitambua Jukwaa Baada Ya Mechi Ya Liver v/s Man U halafu Mukaanza Kubishana Nae!!
Hebu Mpotezeeni Muone Ataanza Kujishtukizia Mwenyewe Kuwa yeye ni Boya tu Na He Know Nothing About Kopites!
Long live Jurgen Klopp....
LIVERPOOL FOOTBALL CLUB remains the only ENGLISH FOOTBALL CLUB to beat BARCELONA "TWICE" at Nou Camp.
Nimependa comfidence ya Karius",..!!
Kingine ni kama waliotanguia walivyosema akija wakutokea huko na comment za ki soudy brown",.. Ni kukaushiwa tyu bila comment yoyote ile.
Hahah nimeipenda hii katuniWhat a fantastic save!!!!????View attachment 420838