Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hope wote tulikuwa weupeeeee ,aiseee usuper star mmeuanza lini?

Kwa kiwango chenu toka ligi imeanza hata Arsenal wana nafuu
Leo LFC kutoa draw Ni sawa na Luxembourg kuibamiza USA
Yaani tumedhalilishwa kupita maelezo
Tumepoteza mechii hii kipuuzi sana
 
Aiseee yangu macho na masikio. ......... tuombe uzima

Mbona haujanialika kwenye sherehe ya kupata sare? naona next week Rent Boys haoooooo wanawasubiri nao wanapaki bus kama nyinyi tu,hili kabati la leo na la Stoke yanakua makabati mawili sio mchezo kama mafundi seremala Hongera mtani tena sanaaaa.....
 
MAN vs LIVER.jpg

Nilijua Mapema Mimi Kuwa Mourinho Ni Lazima Atakuja Na Style Yake Hii..... Na Ndiyomaana Nimeumizwa Sana Na Draw Ya Leo Lakini Sishangai Kwanini Tumetoka Draw! Wakabaji 6 kwa Mshambuliaji Mmoja!!!!! Even Messi Asingeliweza Kuscore Gemu Ya Leo....
 
Hope wote tulikuwa weupeeeee ,aiseee usuper star mmeuanza lini?

Lazima leo Mufurahi Coz Mechi Yenu inayofata Mungu Anajua Kitakachotokea! Sisi Hatukufurahi Leo, Lakini Tutafurahi Kwa Gemu Yenu inayifata Kwa Kile Kitakachowatokezea...
Sisi tunakwenda Kujililia Papai Kwa Kijiko WBA next game....
 
Tumepoteza mechi leo na hatuna cha kufurahi zaidi Ya huzuni tu
Asifikiri tumeridhika na draw
 
It's called 18th century football

Nakubali Mkuu! Katika Kumbu Kumbu Zangu Mou Alipohamia Inter tu Ndiyo Kaanza Kuchezesha Upuuzi Huu wa Bus-Parking Style... Na Kila Anapokutana Na Liverpool Basi Hutafuta Viungo Wakabaji Badala Ya Wachezeshaji na Washambuliaji! That is Why Leo Kamuanzisha Fellaini kwa Makusudi.... Sisi tulikuja Kushinda Gemu, Lakini Mou Kaja Kwa Lengo La Kujilinda tu Huku Akisahau Kuwa na Yeye Ushindi Unamuhusu...
 
Kaumia, ila LFC wameniangusha sana sema zman U wamekuja na Game plan za Morinho ime work kati pale unavu na kurukia mipira juu wametuweza ila kengine nimpe pongezi Herrera kacheza vizuri leo Mane na Firminhohawakufurukuta. LFC hii Game naona kama tumepoteza Points 6 hivi na sio 2Points.
Herrara wa the difference kwa man u
Can first half hakuwa vizuri
Sturridge had a bad game
Mane kipindi cha pili kasaidia kuongeza kasi mbele na kukaba tulipopoteza mpira
 
Nakubali Mkuu! Katika Kumbu Kumbu Zangu Mou Alipohamia Inter tu Ndiyo Kaanza Kuchezesha Upuuzi Huu wa Bus-Parking Style... Na Kila Anapokutana Na Liverpool Basi Hutafuta Viungo Wakabaji Badala Ya Wachezeshaji na Washambuliaji! That is Why Leo Kamuanzisha Fellaini kwa Makusudi.... Sisi tulikuja Kushinda Gemu, Lakini Mou Kaja Kwa Lengo La Kujilinda tu Huku Akisahau Kuwa na Yeye Ushindi Unamuhusu...
Hongera sana kwa point 3 kama ulivyoahidi
 
Herrara wa the difference kwa man u
Can first half hakuwa vizuri
Sturridge had a bad game
Mane kipindi cha pili kasaidia kuongeza kasi mbele na kukaba tulipopoteza mpira

Lile jitu kubwa akili ndogo Zlatan leo ndio alikuwa exposed
Fikiria Rashford leo kageuka beki
Huyo Milioni 300 ndio kabisa alikuwa mkabaji tu
Walikuwa wetu kabisa hawa kama sio
Mistake Ya Klopp kumuanzisha Sturridge
 
Kwa Kweli Tunastahili Tusaini Striker Quality Ya D. Costa au K. Aguero Ambaye One Chance one Goal Kwa ajili Ya Timu Kama Hizi Bus-Parking Kama Tulivyokuwa na F. Torres Wakati Hule Hakukua na Bus-Parking Timu iliyotusumbua...
Kwa Sasa Hatuna Striker Ya Kuweza Kupenetrate Defence ambayo imepaki Bus...
 
Mchukueni Kichuya atawafaa
 
Antoine Griezman
 
Hongera sana kwa point 3 kama ulivyoahidi

Dalili moja Ya Timu Kuwa Mara hii haina Uwezo Wa Kucompete Ni Kusherehekea Draw Kama Munavyofurahia Nyinyi....
Sisi Tumejaa Hasira Kwa Kutokushinda Gemu! Lakini Nyinyi Munafurahi Kwa Kuambulia Sare.
 
Mbona haujanialika kwenye sherehe ya kupata sare? naona next week Rent Boys haoooooo wanawasubiri nao wanapaki bus kama nyinyi tu,hili kabati la leo na la Stoke yanakua makabati mawili sio mchezo kama mafundi seremala Hongera mtani tena sanaaaa.....
Mtani ng'ombe hazeeki Maini Mimi nawaona tu drama zenu kutwa kututabiria......... tutamchapa tu Rent boys ,Mimi Leo sishangiliii ila nimejikuta imenilazimu kushinda humu kwa jinsi hawa Reds wenzangu wanavyolia,nisaidie kuwanyamazisha......
 
Kwa kiwango chenu toka ligi imeanza hata Arsenal wana nafuu
Leo LFC kutoa draw Ni sawa na Luxembourg kuibamiza USA
Yaani tumedhalilishwa kupita maelezo
Tumepoteza mechii hii kipuuzi sana
Haya mkuu tukutane mwisho wa ligi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom