Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wijnaldum ndio anafanya Hendo atiki pale kati ndio tunaona Pengo leo Can bado hajazoea mfumo huu mpya na akija kupoteza mpira tunaweza kuumia ila Bora winger zianze mbio bora hata Origi kengine Man U wametuzidi Ubavu wa mwili wanajua kutumia. ndio ambacho Widnaldum anacho.

Huyu dogo Wijnaldum kwa nini hajacheza leo? Nahusudu anavyocheza. Mechi ya leo inaelekea wote walicheza kupata draw, hakuna aliye take a risk.
 
Huyu dogo Wijnaldum kwa nini hajacheza leo? Nahusudu anavyocheza. Mechi ya leo inaelekea wote walicheza kupata draw, hakuna aliye take a risk.
Kaumia, ila LFC wameniangusha sana sema zman U wamekuja na Game plan za Morinho ime work kati pale unavu na kurukia mipira juu wametuweza ila kengine nimpe pongezi Herrera kacheza vizuri leo Mane na Firminhohawakufurukuta. LFC hii Game naona kama tumepoteza Points 6 hivi na sio 2Points.
 
Game ya leo Hendo,Sturridge wamecheza chini ya kiwango halafu Can anajisahau utafikiri mpira ni wake peke yake
 
Kaumia, ila LFC wameniangusha sana sema zman U wamekuja na Game plan za Morinho ime work kati pale unavu na kurukia mipira juu wametuweza ila kengine nimpe pongezi Herrera kacheza vizuri leo Mane na Firminhohawakufurukuta. LFC hii Game naona kama tumepoteza Points 6 hivi na sio 2Points.

Tumepoteza game hii
Angeanza Lalana toka mwanzo tungeshinda
 
2ba4404f25880bfcf2f2a56bad0a8e20.jpg
jogoo kachoropoka,tungemla nyama leo
 
Kaumia, ila LFC wameniangusha sana sema zman U wamekuja na Game plan za Morinho ime work kati pale unavu na kurukia mipira juu wametuweza ila kengine nimpe pongezi Herrera kacheza vizuri leo Mane na Firminhohawakufurukuta. LFC hii Game naona kama tumepoteza Points 6 hivi na sio 2Points.

Kweli nakubaliana na wewe. Mane alikuwa anakimbia kimbia na kuishia uvunguni no plan. Herrera alifanya alichotumwa kufanya leo. Firmino japo alipata nafasi finyu hakuwa na lolote, Sturridge sawa na Zlatani walikuwa ni kutimiza idadi uwanjani. Mkenya Origi sijaona uzuri wake hadi leo. Liverpool walicheza vizuri kipindi cha pili baada ya Lallana kuingia, next time Klopp aanze na Lallana tuone itakuwaje.
 
Sio mbaya bado tupo vizuri!..mourinho draw kwake ni ushindi ila tungeshinda ingekua vizuri zaidi.
 
Leo Man U katikati walikaza mwili huo ni ukweli Game Plan yao nzuri kuzuia tushinde tumecheza vizuri ila hatujacheza game ikatoka Draw ukasema Bahati yao tumewakosa haikuwa hivyo. walipokosea Man U kumuweka Mata ila sie tulichokosa leo kupata manafasi. ni Game ambayo inauma kuona tumepoteza Points 3. ila LFC YNWA! redordie.
 
Hawa jamaa walikuwa weupe kabisa kuanzia mtumishi hewa Pogba, Felaini Wema Sepetu hadi hilo jitu kubwa akili ndogo Zlatan
Liverpool wameniangusha sana leo
Sturridge auzwe tu hana maana kabisa
Yaani tumepoteza hii mechi kijinga na inauma sana
 
DS Nakubali Kuwa Kuanza Kwa Msimu Alikuwa Mzigo Ambao Ni Wakutugharimu! Laki Nilikuwa Bano Nina Some Hope Kuhusu Yeye Kwani Nilijua sababu Ya DS kuwa Mzigo Ni Kutokana Na Last Season Kusota Benchi Kutokana Na Injury Ya Muda Mrefu That is why imetake time Kurecover na Kumrudisha Katika Ubora Wake...!
Lakini Ukweli Ni Kwamba DS siku hadi siku Anaimprove Performance Yake Na Huenda Akarejea Katika Ubora Wake..
Mkuu si umeona tena na leo DS alivyokua vasco da gama mule ndani? Narudia tena huyu jamaa haendani na kasi yetu.
 
Liverpool ilikuwa slow kiaina leo hasa kipindi cha kwanza. Quick pass ambazo Liverpool walicheza vs Arsenal, vs Chelsea vs Hull city hazikuonekana leo. Mourinho kajaribu ku-inject staili yake ya ukabaji aliyofanya Chelsea, Inter Milan. Man Utd walikuwa very quick ku-close down kila Liverpool walivyopata mpira katikati mwa uwanja.
 
Hawa jamaa walikuwa weupe kabisa kuanzia mtumishi hewa Pogba, Felaini Wema Sepetu hadi hilo jitu kubwa akili ndogo Zlatan
Liverpool wameniangusha sana leo
Sturridge auzwe tu hana maana kabisa
Yaani tumepoteza hii mechi kijinga na inauma sana
Wana kipa mzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom