Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,994
Naunga mkonyo hojaSturridge auzwe tu
Naunga mkonyo hojaSturridge auzwe tu
Jamani unanisikitisha sana nasoma comment zako hadi machozi yananilenga usisikitike hivyo babaaa!!!..... tatizo mliingia na matokeo uwanjani mkasahau mpira ni dakika 90!!!...... Pole sana ila ukija OT sitakuhurumia,Asante kwa kunifadhili AnfieldLeo Man U katikati walikaza mwili huo ni ukweli Game Plan yao nzuri kuzuia tushinde tumecheza vizuri ila hatujacheza game ikatoka Draw ukasema Bahati yao tumewakosa haikuwa hivyo. walipokosea Man U kumuweka Mata ila sie tulichokosa leo kupata manafasi. ni Game ambayo inauma kuona tumepoteza Points 3. ila LFC YNWA! redordie.

Walikuwa weupe mbona hamkushinda,Mimi nadhani walikuwa weusi mkawa hamuwaoniHawa jamaa walikuwa weupe kabisa kuanzia mtumishi hewa Pogba, Felaini Wema Sepetu hadi hilo jitu kubwa akili ndogo Zlatan
Liverpool wameniangusha sana leo
Sturridge auzwe tu hana maana kabisa
Yaani tumepoteza hii mechi kijinga na inauma sana

Walikuwa weupe mbona hamkushinda,Mimi nadhani walikuwa weusi mkawa hamuwaoni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hehehe unaona mnashangilia Draw ndio kawaida ya Manager wenu timu mmoja inajaribu ushindi nyie mnajaribu msifungwe sio mnavyotakiwa.Jamani unanisikitisha sana nasoma comment zako hadi machozi yananilenga usisikitike hivyo babaaa!!!..... tatizo mliingia na matokeo uwanjani mkasahau mpira ni dakika 90!!!...... Pole sana ila ukija OT sitakuhurumia,Asante kwa kunifadhili Anfield![]()
![]()
Hahahaa pole sanaLFC wameshaniharibia wiki yangu
Aaaaarrrrrgggghhhhh
hehehe unaona mnashangilia Draw ndio kawaida ya Manager wenu timu mmoja inajaribu ushindi nyie mnajaribu msifungwe sio mnavyotakiwa.
Hahahhaa aiseHalafu kumuanzisha manywele Felaini yaani Josephina katudharau sana
Pumbavu sana Sturridge
Yaani LFC wameniudhi sana kupoteza hii mechi
In your wildest dreamsSi mbaya kwao tutachukua pointi 3!..
GGMU
Mlidhani mnaenda kucheza Na JKT ruvu ya Masau bwile hahahaha that's EPL guys never get twisted
GGMU
Hope wote tulikuwa weupeeeeeUkicheza na kibonde usiposhinda Wewe ndio uliepoteza mechi
Kwa kiwango hiki ndio maana England haifanyi vizuri duniani
Weupe sana hao yaani ni bora hata Totenham
LFC mmeniangusha sana leo kupoteza hii mechi
,aiseee usuper star mmeuanza lini?Aiseee yangu macho na masikio. ......... tuombe uzimaHao hata top 4 mwaka huu ni majaliwa mkuu
Wala usijisumbue kubishana nao
Utapoteza muda wako bureeeer