Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game haijaendana na matarajio, hakuna mashambulizi ya kueleweka.Morali ipo chini sana, kwanzia mashabiki, kocha hadi wachezaji.
 
Game kama hizi unavyofikiria mwisho inakuwa sio bora kuwa ambaye watu wanasema anafungwa kuliko kushinda! Man U kwenye ukabaji na kati wamejipanga vizuri, LFC ndani hatuingii kabisa tumeishia kucheza na Kipa sana ni kitu hatari lazima winger zianze mbio Za kujaribu kuingia kati Game ni imekuwa Bad na Boring.
 
Lalana and Wijnaldum kweli tumewamiss
Sturridge auzwe tu hana maana leo
Wijnaldum ndio anafanya Hendo atiki pale kati ndio tunaona Pengo leo Can bado hajazoea mfumo huu mpya na akija kupoteza mpira tunaweza kuumia ila Bora winger zianze mbio bora hata Origi kengine Man U wametuzidi Ubavu wa mwili wanajua kutumia. ndio ambacho Widnaldum anacho.
 
Firmino arudi false nine
Coutinho arudi forward 3
Can akae defensive midfield
 
Kuna uwezekano wa 80% hii game kuisha droo.

Kuna uwezekano wa 70% mshindi akaibuka kwa goli 1:0.

Mashambulizi ya Liver hayatoshi, uzembe wa Sturr. upo clear kabisa.

Ibra ama Rashford wanaweza kutuumiza vibaya sana.
 
Hii game haijaendana na matarajio, hakuna mashambulizi ya kueleweka.Morali ipo chini sana, kwanzia mashabiki, kocha hadi wachezaji.
Mashabiki wanajitahidi kuongeza morali but team haijaweza kutulia haswa kiungo...naamini 2nd half itakua tofauti
 
Kuna uwezekano wa 80% hii game kuisha droo.

Kuna uwezekano wa 70% mshindi akaibuka kwa goli 1:0.

Mashambulizi ya Liver hayatoshi, uzembe wa Sturr. upo clear kabisa.

Ibra ama Rashford wanaweza kutuumiza vibaya sana.
Naona akili zinaanza kuwarudia hahahaa

GGMU
 
Mashabiki wanajitahidi kuongeza morali but team haijaweza kutulia haswa kiungo...naamini 2nd half itakua tofauti
Game za namna hii ni mbaya sana.Inakuwa legelege then dak.80 mtu unapigwa nyundo.Wakati ukijitafakari unashangaa mchezo umekata. Clyne bado hajaonesha mambo yake ya siku zote.
 
Game za namna hii ni mbaya sana.Inakuwa legelege then dak.80 mtu unapigwa nyundo.Wakati ukijitafakari unashangaa mchezo umekata. Clyne bado hajaonesha mambo yake ya siku zote.
Hachezi na Arsenal au Chelsea
 
Naombea draw

Ikishindikana kabisa mumfunge Mourinho kwa niaba yangu.
 
ah huwa sipendi kujikatisha tamaa ila Liverpool tumeiuza game sio matarajio kama Man U wakiingiza Mata wanaweza kushinda 1-0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom