Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo niwatakie kila lililo jema na kati ya mawili yatokee:-
1.Nipigieni kile kikundi cha wahuni ambao wanajaribu kua team
2.Pateni sare ili iwe faida kwangu hakika itanipa usiku wenye heri na baraka
69aee2353d81e3a0f5fd54b448eb2590.jpg

Dua Za Arsenal leo ni Mbili:-

1) Gemu itoke Sare.
2) Liverpool ishinde.

Lakini Chaguo Lao ni Namba 1..

Lakini sisi Chaguo letu ni la 2.

😀😀😀😀😀😀😀
 
Msihofu mourinho ananyooshwa leo!..cku hizi kawa mpoooole!..ha ha haa
 
Wadau naomba kuuliza, Liverpool special thread mbona huu uzi siuoni tena? Nani huyo kauhujumu?
 
Leo Mashabiki wote wa Liverpoolfc tunajiamini ushindi ila mie wasiwasi kama Man U watamzuia Milner kupanda na Can kupata tabu kati ndio wanaweza kushinda zaidi ya hapo leo ni kuwatandika tu. LFC YNWA!
 
LABDA WASHINDE NJAA....Maalabuku
 
Naona Manchester United wame contain Liverpool Midfield dakika 21 za mwanzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom